D
DeletedMember281674
Guest
Hawa jamaa Wana double agents Kila Taifa ambalo Kuna ubalozi wao unaowakilisha Taifa lao la Marekani ikiwemo Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania.
Kwa kifupi CIA ni Wazuri Sana katika kutumia Double Agents kuwamaliza wale waliowakusudia, ni vyema wasikilizwe kabla bendera hazijawa nusu mlingoti.
Tuwe wasikivu na tukubaliane nao, naona Sasa hivi hata JF tunaipata bila VPN hiyo ni kusema Uhuru wa vyombo vya habari umerejea, ni mwanzo mzuri basi tutekeleze na hayo mengine wanayotaka tutekeleze tusibishane nao Wala tusishindane nao. Tuwe wapole na wasikivu.
Ni hayo tu. Nawasilisha maoni Binafsi kwa Mujibu wa Katiba Uhuru wa maoni