CIA HUWA HAWABISHIWI. UKISHINDANA NAO BASI KABURI LITAKUHUSU

CIA HUWA HAWABISHIWI. UKISHINDANA NAO BASI KABURI LITAKUHUSU

Hawa jamaa Wana double agents Kila Taifa ambalo Kuna ubalozi wao unaowakilisha Taifa lao la Marekani ikiwemo Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania.

Kwa kifupi CIA ni Wazuri Sana katika kutumia Double Agents kuwamaliza wale waliowakusudia, ni vyema wasikilizwe kabla bendera hazijawa nusu mlingoti.

Tuwe wasikivu na tukubaliane nao, naona Sasa hivi hata JF tunaipata bila VPN hiyo ni kusema Uhuru wa vyombo vya habari umerejea, ni mwanzo mzuri basi tutekeleze na hayo mengine wanayotaka tutekeleze tusibishane nao Wala tusishindane nao. Tuwe wapole na wasikivu.

Ni hayo tu. Nawasilisha maoni Binafsi kwa Mujibu wa Katiba Uhuru wa maoni
Kuna shughuli wameifanya pale Bogota, Colombia na Gustavo Petro aelekea kushindwa uchaguzi mkuu labda atumie mbinu za medani.

Waliamua wamalizane nae kwa njia hiyo na wakifanikiwa basi kijana Abelardo de la Espriella anakuwa raisi kwenye mzunguko wa pili wa kupiga kura tarehe 21 Juni.

Traore pale Burkina Faso nae kasalimu amri kawaangukia Marekani na sasa msaada waingia Ouagadougou kwani nchi hiyo pamoja na maendeleo anoyafanya Traore lakini asilimia 60 na nchi hiyo yakaliwa na magaidi.

Mambo ni mengi na muda ni mchache.
 
Kwa mtanganyika kuwabeza CIA ni matumizi mabaya ya akili. Wanaobeza wanadhani CIA lazima awe mmarekani aje aishi Tanganyika ndio apate taarifa. Kwa taarifa tu ni kwamba kuna CIA Agents wengi tu hapa Tanganyika tangu nchi ilipopata uhuru na Serikalini wapo kibao usijeshangaa hadi makamu wa sasa akawa ni agent wa CIA.

Marekani huwa haiangaiki na issue ambazo haina maslahi nayo hata kama wana taarifa zote. Lakini pia siyo kila issue ni ya kuingilia hovyo hovyo tu bila sababu za msingi.
Hii safari ya Moscow ina maana gani kwa mstakabali wa siasa za sasa na hapo baadae.
 
Kuna shughuli wameifanya pale Bogota, Colombia na Gustavo Petro aelekea kushindwa uchaguzi mkuu labda atumie mbinu za medani.

Waliamua wamalizane nae kwa njia hiyo na wakifanikiwa basi kijana Abelardo de la Espriella anakuwa raisi kwenye mzunguko wa pili wa kupiga kura terehe 21 Juni.

Traore pale Burkina Faso nae kasalimu amri kawaangukia Marekani na sasa msaada waingia Ouagadougou kwani nchi hiyo pamoja na maendeleo anoyafanya Traore lakini asilimia 60 na nchi hiyo yakaliwa na magaidi.

Mambo ni mengi na muda ni mchache.
Traore alikuwa anajichanganya, unaendaje URUSI?

Mrusi hajawahi kuisaidia Afrika kwa lolote zaidi ya kumtia kibri mtawala kwa muda mfupi

Historia kwa Patrice Lumumba, Muamari Ghafafi, Tomas Sankara, Maduro, Mugabe, Hailey wa Ethiopia na wengine wengi Urusia haikuwasaidia.
 
Hii safari ya Moscow ina maana gani kwa mstakabali wa siasa za sasa na hapo baadae.
World Order haipo tena na Marekani wamechanganywa na Iran huku NATO ikiwa imegawanyika kuhusu Ukraine.

Na baada ya Marekani kuondoa vikwazo kwa Russia kwenye mafuta, nchi hiyo sasa yapata faida kubwa yaani moja ni dola milioni 150 kwa siku. Na mafuta hayo mteja mkubwa ni India.

Marekani kwa sasa yashindwa kumudu changamoto za kidiplomasia ambazo zatokea kila pande ya Dunia, ndo siasa za kijiografia hizo.

Ni wazi kwamba Russia ndio itakuwa yaongoza kundi la wanopinga sera na malengo kikoloni ya nchi za Magharibi na Marekani na itakuwa ni mfano mwingine wa vita baridi.
 
Una akili sana uwezo wa USA umeoneka kwenye vita ya Iran kiufupi hii vita USA angepata faida kama asingejiingiza kwenye hii vita ya Iran na heshima Sana akachemka zama za kuvamia nchi za watu kujenga Uchumi wako zimepitwa na wakati mchawi china anajenga Uchumi bila kuvamia nchi za watu USA amezingua sana
World Order haipo tena na Marekani wamechanganywa na Iran huku NATO ikiwa imegawanyika kuhusu Ukraine.

Na baada ya Marekani kuondoa vikwazo kwa Russia kwenye mafuta, nchi hiyo sasa yapata faida kubwa yaani moja ni dola milioni 150 kwa siku. Na mafuta hayo mteja mkubwa ni India.

Marekani kwa sasa yashindwa kumudu changamoto za kidiplomasia ambazo zatokea kila pande ya Dunia, ndo siasa za kijiografia hizo.

Ni wazi kwamba Russia ndio itakuwa yaongoza kundi la wanopinga sera na malengo kikoloni ya nchi za Magharibi na Marekani na itakuwa ni mfano mwingine wa vita baridi.
 
Hofu yangu ni Kwamba usije ikatokea Hawa USA wakawa activate Sleepers Agents wao hapa nchini.

Maana hao sleepers agents wakiwa activated hakuna atakayebaki salama itakuwa kama Yale ya Maduro ingawa hatuombei yatokee.
Kwenye hili kama nchi itapata shida sana maana hao wamo sehemu nyingi mno.

Wanikumbusha akina Jack Barsky na Anna Chapmann.

Barsky alikaa Marekani kwa miaka 10 kama "sleeper agent".

Anna Chapmann alikuwa "deep cover sleeper agent".

Hatari sana.
 
Traore alikuwa anajichanganya, unaendaje URUSI?

Mrusi hajawahi kuisaidia Afrika kwa lolote zaidi ya kumtia kibri mtawala kwa muda mfupi

Historia kwa Patrice Lumumba, Muamari Ghafafi, Tomas Sankara, Maduro, Mugabe, Hailey wa Ethiopia na wengine wengi Urusia haikuwasaidia.
Putin ni tapeli km matapeli wengine, hana lolote yulee.
 
Back
Top Bottom