CIA HUWA HAWABISHIWI. UKISHINDANA NAO BASI KABURI LITAKUHUSU

CIA HUWA HAWABISHIWI. UKISHINDANA NAO BASI KABURI LITAKUHUSU

Kwa mtanganyika kuwabeza CIA ni matumizi mabaya ya akili. Wanaobeza wanadhani CIA lazima awe mmarekani aje aishi Tanganyika ndio apate taarifa. Kwa taarifa tu ni kwamba kuna CIA Agents wengi tu hapa Tanganyika tangu nchi ilipopata uhuru na Serikalini wapo kibao usijeshangaa hadi makamu wa sasa akawa ni agent wa CIA.

Marekani huwa haiangaiki na issue ambazo haina maslahi nayo hata kama wana taarifa zote. Lakini pia siyo kila issue ni ya kuingilia hovyo hovyo tu bila sababu za msingi.
 
Hawa jamaa Wana double agents Kila Taifa ambalo Kuna ubalozi wao unaowakilisha Taifa lao la Marekani ikiwemo Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania.

Kwa kifupi CIA ni Wazuri Sana katika kutumia Double Agents kuwamaliza wale waliowakusudia, ni vyema wasikilizwe kabla bendera hazijawa nusu mlingoti.

Tuwe wasikivu na tukubaliane nao, naona Sasa hivi hata JF tunaipata bila VPN hiyo ni kusema Uhuru wa vyombo vya habari umerejea, ni mwanzo mzuri basi tutekeleze na hayo mengine wanayotaka tutekeleze tusibishane nao Wala tusishindane nao. Tuwe wapole na wasikivu.

Ni hayo tu. Nawasilisha maoni Binafsi kwa Mujibu wa Katiba Uhuru wa maoni
Ni sawa na IRAN ,inajifanya mbabe wa kivita na huku mkuu wa usalama wa taifa anaua kinyamwa.binadamu hajawahi tumia akili tangia EDENI.Yani TANZANANIA tujifanye tunajua kuliko beberu? tena USA? COMMON.ukivuliwa nguo chutama ili yamkini akapita mtu akakusitiri ka nguo fulani.

waheshimiwa hawa Kassim Majaliwa,Philip Mpango,January Makamba ,Ummy mwalimu ,Mizengo Pinda mnatakiwa kufanya kitu ili kuiokoa CCM hapo 2030.
 
Gentleman,
dawa ya malalamiko yako na ya wafuata mkumbo wenzako ni kufanya kazi kwa bidii na maarifa ili hatimae kuondokana na unyonge wa kiuchumi na dhana potofu nonsense mlizo nazo vichwani mwenu juu yenu wenyewe 🤣

jioneeni huruma wenyewe 🤣
Style nzuri sana kumchikoza nyani aliyejuu ya mwembe ukitarajia akasirike akurushie embe Moja upate kujaza tumbo lako usilopenda lingize upeptemb
hiyo ni porojo gentleman :pedroP:
MLafi tumbo tipwatipwa
 
CIA wakitaka jambo lao ni dk 0
Chenge Mzee wa Vijisenti - Akili kubwa muhitimu wa Harvard

Hawa walimu wa vyuo vikuu waliosoma PhD Marekani wafuatiliwe kwa makini unaweza Kuta ni Double Agents wa CIA
 
CIA 😅😅
Umewaza kwa sauti kubwa sana, inawezekana kabisa

Mtu unaenda Marekani wakulipie Scholarship ya PhD halafu utunukiwe PhD Yako urudi kwenu Malawi bila Kuku recruit kwenye Agency yao...unafikiri hiyo PhD yao utamaliza Sasa???

No Free Lunch My Friend
 
Mtu unaenda Marekani wakulipie Scholarship ya PhD halafu utunukiwe PhD Yako urudi kwenu Malawi bila Kuku recruit kwenye Agency yao...unafikiri hiyo PhD yao utamaliza Sasa???

No Free Lunch My Friend
Ila pia hatuna uwezo wa kuwadhibiti CIA, tuwe wapole tu
 
Ila pia hatuna uwezo wa kuwadhibiti CIA, tuwe wapole tu
Hichi kichochoro cha kusomeshwa na US kwa Scholarships ndiyo mwanzo wa kufanyiwa Recruitment ndani ya CIA...Wakusomeshe Bure halafu uondoke bila kumtumikia hiyo fedha waliyokusomesha???

Lazima wakupe role ndani ya CIA na unakuwa ya Siri Sana siku wakikuhitaji uwatumikie huwa hakuna kulemba wanakiwasha kweli kweli
 
Ila Kufanya kazi na CIA au NSA ni bonge la profile , hufi maskini tena labda uvuruge mambo mwenyewe
 
Ila Kufanya kazi na CIA au NSA ni bonge la profile , hufi maskini tena labda uvuruge mambo mwenyewe

CIA Proxy wote duniani Wana Maisha mazuri Sana. Hakuna kustaafu hadi unaingia kaburini
 
Hawa jamaa Wana double agents Kila Taifa ambalo Kuna ubalozi wao unaowakilisha Taifa lao la Marekani ikiwemo Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania.

Kwa kifupi CIA ni Wazuri Sana katika kutumia Double Agents kuwamaliza wale waliowakusudia, ni vyema wasikilizwe kabla bendera hazijawa nusu mlingoti.

Tuwe wasikivu na tukubaliane nao, naona Sasa hivi hata JF tunaipata bila VPN hiyo ni kusema Uhuru wa vyombo vya habari umerejea, ni mwanzo mzuri basi tutekeleze na hayo mengine wanayotaka tutekeleze tusibishane nao Wala tusishindane nao. Tuwe wapole na wasikivu.

Ni hayo tu. Nawasilisha maoni Binafsi kwa Mujibu wa Katiba Uhuru wa maoni
Acha uoga jombaa
 
Yes, wanakula maisha sana. Kupata gape lao ndio kipengele, labda uwe mtu wa viunga vya Brussels wakuone one una potential, uwe na skills adimu

Skills adimu Sasa hivi ni za ICT na AI na FINTECH
 
Na kwenye ICT ukiwa mkali kwenye Low Level security utaonekana , hasa ukiwa mtu wa hivyo viunga lazima wakuangalia macho mawili mawali

Na ukiwa mzuri kwenye hacking of security data...lazima wakupe Ulinzi wa kutosha...mfano uwe professional skilled competent Hacker...wewe umekula...maana watakutumia kuiba security data za mataifa adui na wao
 
Uzuri jamaa CIA hawanaga umri, wakiona una kitu wana wewe hata kama una miaka 50 + .. Ukiwa mzuri kwenye mambo ya Cryptanalysis tayari unakuwa deal kama upo kwenye taifa ambalo wanajielewa, ila sie hapa kwetu mambo ni tofauti
 
Back
Top Bottom