HahahaCIA wa vunjo umemaliza tayari?
Mimi siogopi kufa , msimamo wangu ni mmoja milele. Nimeishi sana hata hivy
Unawaita waafrika wenzio Makafiri kwa sababu tu wamekataa kuishi Mila ya KiarabuMakafir bwana
Naww unawaita waarabu magaidi kwa mila za kizunguUnawaita waafrika wenzio Makafiri kwa sababu tu wamekataa kuishi Mila ya Kiarabu
Wewe ni mwarabu?Naww unawaita waarabu magaidi kwa mila za kizungu
Serikali imegeuka kua gengeHofu yangu ni Kwamba usije ikatokea Hawa USA wakawa activate Sleepers Agents wao hapa nchini.
Maana hao sleepers agents wakiwa activated hakuna atakayebaki salama itakuwa kama Yale ya Maduro ingawa hatuombei yatokee.
NdioWewe ni mwarabu?
Hawa jamaa Wana double agents Kila Taifa ambalo Kuna ubalozi wao unaowakilisha Taifa lao la Marekani ikiwemo Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania.
Kwa kifupi CIA ni Wazuri Sana katika kutumia Double Agents kuwamaliza wale waliowakusudia, ni vyema wasikilizwe kabla bendera hazijawa nusu mlingoti.
Tuwe wasikivu na tukubaliane nao, naona Sasa hivi hata JF tunaipata bila VPN hiyo ni kusema Uhuru wa vyombo vya habari umerejea, ni mwanzo mzuri basi tutekeleze na hayo mengine wanayotaka tutekeleze tusibishane nao Wala tusishindane nao. Tuwe wapole na wasikivu.
Ni hayo tu. Nawasilisha maoni Binafsi kwa Mujibu wa Katiba Uhuru wa maoni
Kwako wasio waarabu ni Makafiri na unawachukia sana?!Ndio
Kuna namna CIA Wanaonekana kama miungu watu.. kwenye vichwa vya wengi sijui ni movie zinaawaharibu ama nnKuhusu ya bongo sisemi kitu, ila kuhusu cia kuaibishwa kasome vyema tena.
MALCOM LUMUMBA waelimishe cia kaharibu na kufeli mara ngapi.
Movie za rambo na check norris kule vietnam 😅Kuna namna CIA Wanaonekana kama miungu watu.. kwenye vichwa vya wengi sijui ni movie zinaawaharibu ama nn
Kuna namna CIA Wanaonekana kama miungu watu.. kwenye vichwa vya wengi sijui ni movie zinaawaharibu ama nn
Ujinga mtupu😀Movie za rambo na check norris kule vietnam 😅
Watu wakiaminishwaga wanaamini tu kila jambo😆 hawajipi nafasi ya kuchakata bongo zaoWord.
Watu wanaamini CIA wanajua hadi wakijamba yet matukio kibao yanatokea at the heart of city centers yaliyokuwa planned muda mrefu na hao CIA hawana habari hata kidogo.
Wanachekesha eee?!!!!Makafir bwana