CIA HUWA HAWABISHIWI. UKISHINDANA NAO BASI KABURI LITAKUHUSU

D

DeletedMember281674

Guest
Hawa jamaa Wana double agents Kila Taifa ambalo Kuna ubalozi wao unaowakilisha Taifa lao la Marekani ikiwemo Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania.

Kwa kifupi CIA ni Wazuri Sana katika kutumia Double Agents kuwamaliza wale waliowakusudia, ni vyema wasikilizwe kabla bendera hazijawa nusu mlingoti.

Tuwe wasikivu na tukubaliane nao, naona Sasa hivi hata JF tunaipata bila VPN hiyo ni kusema Uhuru wa vyombo vya habari umerejea, ni mwanzo mzuri basi tutekeleze na hayo mengine wanayotaka tutekeleze tusibishane nao Wala tusishindane nao. Tuwe wapole na wasikivu.

Ni hayo tu. Nawasilisha maoni Binafsi kwa Mujibu wa Katiba Uhuru wa maoni
 
Hii iko documented

https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/share/v/1EpYzKwgBX/
 
Hizi story peleka kijiweni kwako walipo watoto wenzako wa Gen Z.
 
Wasitupangie maisha watuache na mishe zetu.
 
ni vema kujiepusha na mawazo ya kinyonge na kimaskini hivyo gentleman,
hakuna haja wala sababu hata moja ya kutishika na dhana hiyo potofu ya kitambo sana, na yenye vitisho useless kama hicho,

ile ya muhimu zaidi ni kufanya kazi kwa bidii na kujitegemea kiuchumi, kisiasa na kijamii.
 
Si ajabu unaweza kukuta hata Tax na Migiro ni maagent wa Central Intelligence Agency.

Ndiyo wanaitwa Sleepers Agents...maana hao wakiwa activated Wana kiwasha haswa maana Chocho zote wanazijua..
CIA ni hatari sana na ukiwa mbishi wanawashirikisha agents ambao ni washirika wao kutoka MOSSAD na NATO Member States...hapo huchomoki...hata kama Haina ulipochomeka...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…