CIA inamtesa Putin vikali, yaanza maandalizi ya kumtoa rasmi Kremlin

Oyaaaa [emoji23] mji wa Kherson unajiandaa kupiga kura ya kujiunga na Urusi rasmi[emoji116][emoji116]


#Breaking The Kherson region will appeal to Putin to let them join Russia -say the deputy head of the military-civilian administration Kirill Stremousov.
 
Inapigana na kanchi maskini harafu hamalizi mipango ndipo tunamwona mwwpesisana
 
That "Anajaribu jaribu kuchukua maeneo" ilhali uhalisia keshayachukua.

How do you guys think of us? Dumb? Idiots? That you know things we don't know?

It's time now, muache kuvuta shuka kumekucha [emoji23]
Taarifa kama hizi haziwafurahishi kabisa nyie pro Russia
 
KGB
 
Alisika mchambuzi mmoja toka Kazuramimba
 
Inapigana na kanchi maskini harafu hamalizi mipango ndipo tunamwona mwwpesisana
Mbona unajisahaulisha sana wewe kila siku kupeleka silaha za mabilioni ya dola tena za kisasa na mamluki wa kuwasaidi Ukraine na bado hatuoni impact zozote za hizo silaha mnazozipeleka kila siku. Nafikili mnatudanganya toto labda hakuna cha kupeleka hizo silaha kwa maana toka tuanzekusikia mnampelekea Ukraine silaha nzito na za kisasa., nilitegemea Russia angekuwa ameshafurumushwa kitambo sasa na tumeshasahau habari ya vita
 
Asante mwa taarifa, waambie BBC tunawapa heko kwa propaganda zao za kindezi
 
Akipiga anapigwa pia na hizo nukes
 
Na ndo maana wamekufa wengi
 
Yaani watu wengine hawana hata akili, mtu anashindwa kuona hii ni propaganda za waziwazi za magharibi! Urusi yeye kazi yake ni kutwanga tu. Taarabu anawaachia nyie wapambe wa magharibi
 
Wewe ni wale watu wanajuwa sana kuandika na kupangilia maneno ya maandishi yenu ila pumba grade one. Sources
Yaaani nimechekaaaaa ...... Halafu huyu naye mtoa Uzi eti ameumbwa kwa mfano wa Mungu .... Mi nakataaa......sio kwa akili mbovu hizo anazozitema kwa kujiamini kabisa
 
Hii nchi Ina wajinga wengi Sana ... Ule utafiti wa magonjwa ya akili unahalalishwa kabisa na muanzisha Uzi huu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…