Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Used Motor Value calculator inatumika kama guide.Naomba kuuliza nko kwenye process za mwisho kuagiza gari yangu japan. SWALI.
CIF ya gari ni kubwa kuliko estimation kodi ya TRA.mfano.CIF ya gari MIL 7.KODI TRA MIL 4.5.JE TRA watatumia hiyohiyo 4.5mil au itsongezeka?
Ipi I atakuwa iwe kubwa?
Cif ya gari au TRA culculator?
Hata ikitokea mabadiliko yatakuwa madogo sana.
Kwa makadirio TRA wanatumia hiyo CIF custom value most of time inakuwaga kubwa kidogo na ile value uliyoagiza wewe.