Mkuu Mbu,
usidharau kabisa hizi elimu zetu za kiafrica nyingi zina maana sana na zina ukweli, tatizo kubwa Waafrica wengi hatuko wazi, tunakuwa na tabia ya kificho sana kwa hiyo vitu vingi tunaambiwa mwiko bila kuambiwa ni kwa nini, na hapa ndipo wazungu walipotuacha mbali kwani wao wanaweka kwenye maandishi na hata kama kuna modification bac mtu mwingine anaimprove
KUHUSU POINT YAKO YA MAMA MJAMZITO NA MAYAI, THE SECRET BEHIND ILIKUWA BY THAT TIME WANAWAKE WALIKUWA WANAZALIA NYUMBANI KWA WAKUNGA WA KIENYEJI, LAKINI KUKAWA NA MATATIZO KWAMBA BAADHI YA KINA MAMA WALIKUWA NA WATOTO WAKUBWA SANA TUMBONI NA BY THAT TIME KULIKUWA HAKUNA OPERATION, SASA HAO WAKUNGA BAADA YA KUFANYA RESEARCH ZAO WAKAGUNDUA KAMA MAMA NI MJAMZITO NA AKILA VYAKULA KAMA MAYAI YANASABABISHA MTOTO KUWA MKUBWA(KUNENEPA) TUMBONI HIVYO WAKAWAKATAZA WAKINA MAMA KULA VYAKULA KAMA MAYAI WAKIWA WAJAWAZITO ILIWAJIFUNGUE SALAMA LAKINI BILA KUWAAMBIA SABABU
mimi kwa mtazamo wangu hata hiyo kitu ya kutairi itakuwa na maana sio kitu cha bure tu, hivyo vitu vyote vimekuja baada ya research japo hazikuandikwa