Kang
JF-Expert Member
- Jun 24, 2008
- 5,655
- 2,506
kwani mtoto naye anafanya nini wazazi wake wakiwa 'wanafurahishana'?
Kufanya tendo la ndoa ni sababu moja wapo kati ya nyingi zinazopunguza kinga ya mwili,
Mtoto huwa anapata kinga ya mwili kutoka katika maziwa ya mama kwa njia ya natural passive immunity, hivyo kitendo cha kufanya tendo la ndoa wakati mtoto ana kidonda kinga ya mama inapungua na mtoto akinyonya maziwa yanakuwa hayana kinga yoyote na kupelekea kidonda kuchelewa kupona.
Hii pumba! Tangu lini kufanya mapenzi kunapunguza kinga?