mr gentleman
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 3,222
- 4,689
- Thread starter
-
- #21
Kwa hiyo Tanzania haikuwai kuwa na wahujumu uchumi zile kelele miaka yote zilikuwa ni za kisiasa?kabisa mkuu. Wewe emagine watu wako mahabusu kwa miaka 5 eti upelelezi wa makosa yao ya uhujumu uchumi unaendelea.
Marehemu alijawa na roho katili, ukomoaji na uporaji.
Nasema uongo ndugu zangu?
Umeambiwa mwanasheria mkuu ameagizwa kushughulikia kesi zao mapema waachiliwe wewe una kichwa gani huelewi?Mfungwa gani wa kisiasa aliyefungwa wakati wa Magufuli ameachiwa na Samia?
Kenya sio ndugu zetu so kufanya lolote kutuchafua inawezekana kabisa kwa maana wana gain kupitia ilo.Kenya wamekuwa vyombo vya habari kuliko msemaji mkuu wa serekali.siku zoto raisi hawezi semewa nchi ya watu mpaka nisikie nchini mwangu
We uliyeuliza unamjua ama unadandia tu nyuzi za watu kimihemko, unajua huyo Mbunge alikua ndani kwasababu zipi? be wiseUnajua political prisoner ni nani?
Nani ameachiwa? Wewe uhoni kama kichwa chako haujaweza kukishughulisha vizuri.Umeambiwa mwanasheria mkuu ameagizwa kushughulikia kesi zao mapema waachiliwe wewe una kichwa gani huelewi?
Kwani kwa akili zako unadhani wafungwa wa kisiasa files zao zinasoma kuwa wameshitakiwa kisiasa?
Unapewa kesi yoyote ile wanachofanya ni kukulia timing wakukamatie wapi.
Unaweza pewa kesi ya ulawiti, ubakaji n.k ila nyuma kuna political influence.
halafu kuna wajinga wachache wanamtetea, unamtetea katili kama lile.kabisa mkuu. Wewe emagine watu wako mahabusu kwa miaka 5 eti upelelezi wa makosa yao ya uhujumu uchumi unaendelea.
Marehemu alijawa na roho katili, ukomoaji na uporaji.
Nasema uongo ndugu zangu?
Hawa Citizen TV hawajui kitu wanaleta propaganda tu. Tanzania haina mfungwa wa kisiasa hata mmoja ila inawafugwa wa makosa ya jinai tu. Na hakuna aliyeachiwa na Rais Mama Samia eti ni mfugwa wa kisiasa. Vyombo vya Habari vingi vya Kenya viko kutetea wizi na ufisadi uliokuwa unafanya na Wakenya wakishirikiana na mafisadi ya kimataifa dhidi ya Tanzania. Citizen TV inamilikiwa na Aga Khan Foundation ambao ndiyo wanamiliki Aga Khan Hospitals za Tanzania ambazo wakati wa Korona walikuwa wanatoza wagonjwa pesa ya kukomoa kwa hiyo usitegemee zuri lolote toka Foundation hiyo dhidi ya Watz.Televisheni ya Citizen ya Kenya imeripoti kuwa Mama Samia ametoa maelekezo wafungwa 23 wa kisiasa waachiwe huru.
Je, Tanzania tuna wafungwa wa kisiasa?
Ni kina nani hao wafungwa wa kisiasa anaowazungumzia Mama Samia?
Au Citizen wanamchafua rais wetu?
View attachment 1776034
Magaidi waliokamatwa dunia nzima na Marekani walikaa mahabusu kule Quantanamol kwa muda wa zaidi ya miaka kumi bila hata kufikishwa mahakamani. Afadhali hawa wa TZ walishafikishwa hata mahakamani mkuu.kabisa mkuu. Wewe emagine watu wako mahabusu kwa miaka 5 eti upelelezi wa makosa yao ya uhujumu uchumi unaendelea.
Marehemu alijawa na roho katili, ukomoaji na uporaji.
Nasema uongo ndugu zangu?
UAMSHONi kina nani hao?
halafu kuna wajinga wachache wanamtetea, unamtetea katili kama lile.
Wataje hao 23 walioachiwa.Wafungwa wa kisiasa wapo wengi sanaaa.
Meko alikuwa mnyama na alifunga wapinzani wengi sana na kuwatesa na kuwaua na wengine kama lema walikimbia.
Kiufupi wapo zaidi ya 500
1 mdudeNi kina nani hao?
Chukua kalam na karatasiWataje hao 23 walioachiwa.
Uamsho wameachiwa?UAMSHO
Wewe ni bendera hakuna unachojua, maisha yanakuchanganya na wanasiasa wanakuvuruga.Chukua kalam na karatasi
Hawa Citizen TV hawajui kitu wanaleta propaganda tu. Tanzania haina mfungwa wa kisiasa hata mmoja ila inawafugwa wa makosa ya jinai tu. Na hakuna aliyeachiwa na Rais Mama Samia eti ni mfugwa wa kisiasa. Vyombo vya Habari vingi vya Kenya viko kutetea wizi na ufisadi uliokuwa unafanya na Wakenya wakishirikiana na mafisadi ya kimataifa dhidi ya Tanzania. Citizen TV inamilikiwa na Aga Khan Foundation ambao ndiyo wanamiliki Aga Khan Hospitals za Tanzania ambazo wakati wa Korona walikuwa wanatoza wagonjwa pesa ya kukomoa kwa hiyo usitegemee zuri lolote toka Foundation hiyo dhidi ya Watz.
Mdude kaachiwa?1 mdude
Hii habari yao ni wazi ina nia mbaya.Hawa Citizen TV hawajui kitu wanaleta propaganda tu. Tanzania haina mfungwa wa kisiasa hata mmoja ila inawafugwa wa makosa ya jinai tu. Na hakuna aliyeachiwa na Rais Mama Samia eti ni mfugwa wa kisiasa. Vyombo vya Habari vingi vya Kenya viko kutetea wizi na ufisadi uliokuwa unafanya na Wakenya wakishirikiana na mafisadi ya kimataifa dhidi ya Tanzania. Citizen TV inamilikiwa na Aga Khan Foundation ambao ndiyo wanamiliki Aga Khan Hospitals za Tanzania ambazo wakati wa Korona walikuwa wanatoza wagonjwa pesa ya kukomoa kwa hiyo usitegemee zuri lolote toka Foundation hiyo dhidi ya Watz.
LiniMdude kaachiwa?