Citizen TV ya Kenya imeripoti Rais Samia kawaachia wafungwa 23 wa kisiasa. Ni akina nani wafungwa wa kisiasa?

kabisa mkuu. Wewe emagine watu wako mahabusu kwa miaka 5 eti upelelezi wa makosa yao ya uhujumu uchumi unaendelea.
Marehemu alijawa na roho katili, ukomoaji na uporaji.

Nasema uongo ndugu zangu?
Kwa hiyo Tanzania haikuwai kuwa na wahujumu uchumi zile kelele miaka yote zilikuwa ni za kisiasa?
 
Kenya wamekuwa vyombo vya habari kuliko msemaji mkuu wa serekali.siku zoto raisi hawezi semewa nchi ya watu mpaka nisikie nchini mwangu
Kenya sio ndugu zetu so kufanya lolote kutuchafua inawezekana kabisa kwa maana wana gain kupitia ilo.
 
Umeambiwa mwanasheria mkuu ameagizwa kushughulikia kesi zao mapema waachiliwe wewe una kichwa gani huelewi?
Nani ameachiwa? Wewe uhoni kama kichwa chako haujaweza kukishughulisha vizuri.
 
Kwani kwa akili zako unadhani wafungwa wa kisiasa files zao zinasoma kuwa wameshitakiwa kisiasa?
Unapewa kesi yoyote ile wanachofanya ni kukulia timing wakukamatie wapi.
Unaweza pewa kesi ya ulawiti, ubakaji n.k ila nyuma kuna political influence.
Screenshot_20210507-075246_Opera Mini.jpg
 
kabisa mkuu. Wewe emagine watu wako mahabusu kwa miaka 5 eti upelelezi wa makosa yao ya uhujumu uchumi unaendelea.
Marehemu alijawa na roho katili, ukomoaji na uporaji.

Nasema uongo ndugu zangu?
halafu kuna wajinga wachache wanamtetea, unamtetea katili kama lile.
 
Televisheni ya Citizen ya Kenya imeripoti kuwa Mama Samia ametoa maelekezo wafungwa 23 wa kisiasa waachiwe huru.

Je, Tanzania tuna wafungwa wa kisiasa?

Ni kina nani hao wafungwa wa kisiasa anaowazungumzia Mama Samia?

Au Citizen wanamchafua rais wetu?

View attachment 1776034
Hawa Citizen TV hawajui kitu wanaleta propaganda tu. Tanzania haina mfungwa wa kisiasa hata mmoja ila inawafugwa wa makosa ya jinai tu. Na hakuna aliyeachiwa na Rais Mama Samia eti ni mfugwa wa kisiasa. Vyombo vya Habari vingi vya Kenya viko kutetea wizi na ufisadi uliokuwa unafanya na Wakenya wakishirikiana na mafisadi ya kimataifa dhidi ya Tanzania. Citizen TV inamilikiwa na Aga Khan Foundation ambao ndiyo wanamiliki Aga Khan Hospitals za Tanzania ambazo wakati wa Korona walikuwa wanatoza wagonjwa pesa ya kukomoa kwa hiyo usitegemee zuri lolote toka Foundation hiyo dhidi ya Watz.
 
kabisa mkuu. Wewe emagine watu wako mahabusu kwa miaka 5 eti upelelezi wa makosa yao ya uhujumu uchumi unaendelea.
Marehemu alijawa na roho katili, ukomoaji na uporaji.

Nasema uongo ndugu zangu?
Magaidi waliokamatwa dunia nzima na Marekani walikaa mahabusu kule Quantanamol kwa muda wa zaidi ya miaka kumi bila hata kufikishwa mahakamani. Afadhali hawa wa TZ walishafikishwa hata mahakamani mkuu.
 
Wafungwa wa kisiasa wapo wengi sanaaa.
Meko alikuwa mnyama na alifunga wapinzani wengi sana na kuwatesa na kuwaua na wengine kama lema walikimbia.
Kiufupi wapo zaidi ya 500
Wataje hao 23 walioachiwa.
 
Hawa Citizen TV hawajui kitu wanaleta propaganda tu. Tanzania haina mfungwa wa kisiasa hata mmoja ila inawafugwa wa makosa ya jinai tu. Na hakuna aliyeachiwa na Rais Mama Samia eti ni mfugwa wa kisiasa. Vyombo vya Habari vingi vya Kenya viko kutetea wizi na ufisadi uliokuwa unafanya na Wakenya wakishirikiana na mafisadi ya kimataifa dhidi ya Tanzania. Citizen TV inamilikiwa na Aga Khan Foundation ambao ndiyo wanamiliki Aga Khan Hospitals za Tanzania ambazo wakati wa Korona walikuwa wanatoza wagonjwa pesa ya kukomoa kwa hiyo usitegemee zuri lolote toka Foundation hiyo dhidi ya Watz.

Hizi lawama kwa Aga khan zimekaa kijamaa, ujamaa ule wa kale.
 
Hawa Citizen TV hawajui kitu wanaleta propaganda tu. Tanzania haina mfungwa wa kisiasa hata mmoja ila inawafugwa wa makosa ya jinai tu. Na hakuna aliyeachiwa na Rais Mama Samia eti ni mfugwa wa kisiasa. Vyombo vya Habari vingi vya Kenya viko kutetea wizi na ufisadi uliokuwa unafanya na Wakenya wakishirikiana na mafisadi ya kimataifa dhidi ya Tanzania. Citizen TV inamilikiwa na Aga Khan Foundation ambao ndiyo wanamiliki Aga Khan Hospitals za Tanzania ambazo wakati wa Korona walikuwa wanatoza wagonjwa pesa ya kukomoa kwa hiyo usitegemee zuri lolote toka Foundation hiyo dhidi ya Watz.
Hii habari yao ni wazi ina nia mbaya.
 
Back
Top Bottom