babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 11,632
- 29,912
Haitaki makasiriko.Ingekuwa ni media uchwara za Tz ndio zimeandika jambo lolote lile kuhusu Kenya. Hata iwe tusi la wazi wazi, hakuna mkenya yeyote angelia lia kama watz. Tungepuuzilia tu na hatungepoteza muda wa balozi wetu Dan Kazungu kule Dar. Nyang'au anatamba kweli kweli ukanda huu. Hongera kwa Citizen TV, RMS na media za Kenya kwa ujumla. Watz endeleeni kufaidi na kufatilia uanahabari wa hali ya juu kutoka kwa wakenya na mueleze media zenu zijifunze pia.