Citizen Tv ya Kenya yaomba msamaha kwa matumizi ya "Ukaidi wa Magufuli"

Citizen Tv ya Kenya yaomba msamaha kwa matumizi ya "Ukaidi wa Magufuli"

Stupid Kenyans, how can you describe our President as a stubborn man,hata kama amekosea maamuzi,yanatuhusu ss,na sio nyinyi,stop meddling on our issues,hii ni dharau kubwa sana,hivi mnafikiaje hatua ya kumsema Rais wetu kwenye vyombo vya habari!jinga sana!
Hilo ni jambo la kawaida kwenye nchi zenye media freedom na wala si jambo la kuumiza kichwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio mpunguze shobo,
Kinachokuuma ni citizen tv kukiri kuwa wamekosea na kuomba msamaha [emoji23][emoji23][emoji23]
Nilijua nimeona kila kitu kumbe kuna wivu wa namna hii!
Eti wivu, kisa nini? Jombaa, inamaana kwamba umepanick hadi unanukuu comment zangu bila kuzisoma? Mimi nimewapa hongera Citizen Tv na RMS hongera kwa kazi zao nzuri. Kwa ueledi wao kwenye kuwasilisha ujumbe na kwa kuomba msamaha wiki tatu baadaye, kwa habari walizopeperusha live. Kongole kwenu pia kwa uelewa wenu na kwa kuwasamehe Citizen Tv. [emoji1]
 
Ficha upumbavu wako huko,kipindi Fulani Museveni alipokuwa akihutubia kwenye sherehe mmoja hapo Kenya,alisema wakenya walioko mpakani mwa Uganda waache kuiba ng'ombe wake,wakenya mlipiga sana kelele,mbona hamkupotezea kama unavyosema?
Jaribu tena jombaa. Hata CNN ya Marekani pia tuliizomea sana. Rejea upya na mfano unaoendana na hoja anayojaribu kuwasilisha ukitumia mifano kutoka kwa media zenu uchwara, za umbea na ubabaishaji. Shukran.
 
Kajifunze kiswahili.
Naona umeskia ulivyotaka wewe! Cheza hiyo video na umwalike jirani, pakiwa na msamaha amaombo huyo mtangazaji itakua Kiswahili kwako lugha ya kigeni. Amekili Neno moja lilotumika Kwa hiyo habari halikua mwafaka Kwake! Hakutamka kuomba msamaha popote!
 
Amekili ndio nini,
Ushasema halikua na muafaka kwake hadi hapa ushajikamata.
 
Amekili ndio nini,
Ushasema halikua na muafaka kwake hadi hapa ushajikamata.
Hamna msamaha citizen wameomba! Period! Nasema tena omba msaada Kwa majirani, wasikilize Wakupe tafsiri! Pakiwa mtangazaji kaomba msamaha Kwa hiyo taarifa basi Kiswahili lugha mpya!!
 
Hamna msamaha citizen wameomba! Period! Nasema tena omba msaada Kwa majirani, wasikilize Wakupe tafsiri! Pakiwa mtangazaji kaomba msamaha Kwa hiyo taarifa basi Kiswahili lugha mpya!!
Ok, suuzika sasa.
 
😂 😂 😂 😂 CCM wanatangeneza apology yao.
Hio sio sauti ya Citizen TV. Huyo sio Mkenya anaongea hapo.
Na kwa hio video, hakuna rangi ama nembo za Citizen TV popote, kama ilivyo kawaida kwa ripoti zote.
Wewe ni zero kama hizo zero kwa ID yako,
Mjinga mwenzako alibisha hivo hivo kama wewe kuwa sio citizen tv,
Kukurupuka ndio tabia yenu.
 
Kwani waliambiwa waapologize kila siku 😂😂😂

Najua leo utalala poa sana.

I can assure you, 99.9999% ya Wakenya hawakunotice hio title ya 'Ukaidi wa Magufuli'.
Wenye walinotice, 99.99% did not give a sh#t.

We didn't need Citizen TV to tell us that Tanzania is a dictatorial, communist country. Tulijua kitambo kwamba Magu ni dikteta supremo.
 
Saa ile Ulisema ni uongo,
Muda huu umetii 😂😂😂
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Back
Top Bottom