Lewis254
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 7,729
- 3,569
sawa mumIngekuwa ni uongo wala usingeangaika kuniquote 💉 💉 💉
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sawa mumIngekuwa ni uongo wala usingeangaika kuniquote 💉 💉 💉
Sawa mwenyekiti wa chama cha wamama Kenya.sawa mum
Sisi bado tunapiga kazi tunaendelea bila zuio sasa c- 19 imetia timu kibera wacha tuoneMnatuombea mabaya wakati kwenu kunawaka Moto. Naskia maambukizi yamefika 53 kwa siku.
Mwanahabari wa Citizen TV ndo kasema walitishiwa kufungiwa kupeperusha stesheni ya Citizen huko TZ, na wakapewa masharti yepi ambayo lazima wafanye ndo waruhusiwe TZ.Upuuzi mtupu, kadanganyaneni wenyewe huko, tangu lini JPM alizima Citizen TV isionekane TZ...
Halafu mnajiita mabepari wakati mabepari wanaoongoza kwa utajiri zaidi na kutambulika kimataifa kutoka EA wote in kutoka TZ.
kilichoongelewa ni utaifa hata wangekua aliens bado ni waTanzaniaWaarabu na Wahindi tupu.
You're so comfortable boasting about a few Indian men owning all the wealth in your country while the rest are dirt poor?kilichoongelewa ni utaifa hata wangekua aliens bado ni waTanzania
Read and re-read my comment.You're so comfortable boasting about a few Indian men owning all the wealth in your country while the rest are dirt poor?
Wake up from your slumber dude. You can put your head in the sand but the reality is there. This is one of the reasons black people are despised all over the world, you come to a black country and you meet billionaires of foreign origin while Africans are paupers.Read and re-read my comment.
There is no Arab or Indian in our constitution, its just Tanzanian.
So Rephrase
Do you wash your TV?Leo wash tv yako saa moja au waangalie kupitia youtube.
Tusitishane'' 😂 haka kacorona tutakashinda kwa jina la Yesu...bado mko maombi ya siku tatu?Sawa mwenyekiti wa chama cha wamama Kenya.
Ukosefu wa shughuli ya kufanya.Tusitishane'' 😂 haka kacorona tutakashinda kwa jina la Yesu...bado mko maombi ya siku tatu?
Ikawafanya mtishane?Ukosefu wa shughuli ya kufanya.
Ukosefu wa shughuli ya kufanya ndio inakufanya uandike ujinga.Ikawafanya mtishane?
Black people are despised because of our own infriority complex that leads us to do exactly what it is you are doing, belittling each other and always finding falt in each other. I know not any other reasonWake up from your slumber dude. You can put your head in the sand but the reality is there. This is one of the reasons black people are despised all over the world, you come to a black country and you meet billionaires of foreign origin while Africans are paupers.
Dar haina tofauti na Wuhan , imekuwa kitovu cha corona Afrika
kwa kweli hali imekua mbaya sana Dsm. tuendelee kuomba tu.Sasa Kama tumeanza kunyanyapariwa hapa hapa dar huko Kwa majirani zetu, Kenya, Uganda na Rwanda hapo baadae itakuwaje? Maaana wenzetu Nina Uhakika had mwezi wa sita mwanzoni watakuwa wamedhibithi
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe huyo Chris Kirubi kasaidia nn kwa covid19 fight? Nimeona kanunua shares baada ya shares at NSE ku-collapse kutokana na janga la coronavirus! Humprey Kariuki je? Uhuru Kunyatta na Brookside dairy?You're so comfortable boasting about a few Indian men owning all the wealth in your country while the rest are dirt poor?
bado tunasubiri preliminary results kutoka Tanzania bara... naona bado wanasua sua. 147 + (23 kutoka Zanzibar) = 170.Who is the villain here? Idadi ya maambukizo Tanzania 170.
tuzidi kuomba Mungu huku tukichukua tahadhari zilizopo.Salary Slip,
Mkuu leo nimekutana na msafara wa ambulance 6 na kati ya hizo lipo lile likubwa na nyuma ya hizo ambulance kuna gari mbili zimapakia watu wamejikoki mask balaa! Tuombe tu Mungu