Bantugbro
JF-Expert Member
- Feb 22, 2009
- 4,473
- 4,252
Huyo mwanahabari wa Citizen ni mwongo mara ya kwanza na ni mwongo pia kwa mara ya pili, akubali tu kua alikosea lugha, vyombo vya habari vya Tanzania havina tabia ya katukana au kudharau viongozi wa nchi jirani, especially hapo EAC, ujirani mwema ni kitu muhimu sana.
Mwanahabari wa Citizen TV ndo kasema walitishiwa kufungiwa kupeperusha stesheni ya Citizen huko TZ, na wakapewa masharti yepi ambayo lazima wafanye ndo waruhusiwe TZ.
Alafu kwa hilo la ubebari hata usianze...... hayo ni mambo ya baadae kwasasa tupambane na corona