Citizen Tv ya Kenya yaomba msamaha kwa matumizi ya "Ukaidi wa Magufuli"

Haitaki makasiriko.
 
UJUMBE ulishafika.......wanaomba Msamaha baada ya wiki 3?
 
Unajua ujinga wenu ni kuamini mnachofanya ni sawa? Ila FYI sidhani kama ur approach on coronavirus is effective!
 
Hakuna mahali nimeonahio kitu kama hicho, hapo kwa -2 wanaonglea kuhusu Blood bank crisis.... Na hata kama kitendo hicho kilifanyika, mnakubalije msamaha ambao hauna mahala popote unaoweza kuonekana?

Kumbuka tokea juzi mmekua mkijisifu kwamba World Bank imetangaza eti Tanzania ni mfano wa kuigwa katika kupambana na Corona, sasa WB imetoa taarifa kukana kwamba ilisema hivyo!!!!!
 
Huwa unafaidika nini na huu ubishi wako wa kishamba humu!
Unabisha hadi vitu vinavyo onekana!
Nimekupa link ya live stream bado unasema eti haipo,
Au hujui kuwa dakika ya hiyo sehemu hubadikika kadri dk zinavyoenda,
Hapa sasa hivi nimeangalia unavyobisha hapa ni - 2:56:04,
Ila sishangai kwa sababu tabia ya ubishi wa kijinga ni kawaida yenu.
 
Sawa basi, waliomba msamaha ambao unapotea na upepo,Kesho itakua hakuna mtu anaweza kupata hio taarifa...... na hii nayo mnasemaje?
 
Sawa basi, waliomba msamaha ambao unapotea na upepo,Kesho itakua hakuna mtu anaweza kupata hio taarifa...... na hii nayo mnasemaje?
Wamekuambia wanaifuta?
Umeona nikipost taraarifa za wb?
Wapelekee blogs zilizopost,
Unabadilisha magoli ya nini!
Akili fupi kama sabuni za lodge.
 
Wamekuambia wanaifuta?
Umeona nikipost taraarifa za wb?
Wapelekee blogs zilizopost,
Unabadilisha magoli ya nini!
Akili fupi kama sabuni za lodge.
Kama ombi hilo la msamaha lipo kwa timeline ya live stream pekee, na haiko kwa tovuti ya Citizen ama kwa twitter ama kwa chapisho lolote rasmi la Citizen, basi ikifika kesho itakua ilifutika hapo kwa live stream na hakutakua na ushahidi wowote kwamba Citizen TV waliomba msamaha....
 
Unajua ujinga wenu ni kuamini mnachofanya ni sawa? Ila FYI sidhani kama ur approach on coronavirus is effective!
Kwenye ubongo wako.
Itakuwa mnalialia kwasababu walichosema Citizen Tv ni ukweli mtupu. Hayo ni maoni yao binafsi lakini, kama wanahabari. Mnakumbuka ule upumbavu wa vikaragosi vyenu vya GoT, ambao ndio huwa mnawaita wanahabari nchini Tz? Baada ya vikosi vyenu vya usalama kumkamata, kudhulumu na kujaribu kumbaka mwanahabari mkenya Muthoki Mumo? Sakata za aina hiyo ndio za kuchomoleana silaha, ila kwasababu wakenya tunaelewa upumbavu wa chama chenu cha mafisi tuliwapuuza hadi akili zenu zikawarudia. Baada ya serikali yenu kujiaibisha, kama kawa.
 
Nyang'au una matatizo sana. Hujielewi. Tafuta kioo ujiangalie.
 
Duu, hii ni kali aisee, sasa imekua mabo ya cold war
 
Citizen TV baada ya malalamiko ya balozi wa Tanzania nchini Kenya wameona kheri yaishe na kutengua kauli hiyo


Pia soma > CCM mmeona nchi jirani wasemavyo kuhusu Rais Magufuli? - JamiiForums
Stupid Kenyans, how can you describe our President as a stubborn man,hata kama amekosea maamuzi,yanatuhusu ss,na sio nyinyi,stop meddling on our issues,hii ni dharau kubwa sana,hivi mnafikiaje hatua ya kumsema Rais wetu kwenye vyombo vya habari!jinga sana!
 
Ukiona wanarusha live stream kwa youtube ujue kuwa hiyo live stream inaonekana pia kwenye tv yako hapo nyumbani,
Wakenya milioni ngapi wanatizama citizen tv?
Kingine ilikuwa ni kipindi cha habari,
Kipindi cha habari kinafuatiliwa na wakenya wengi ili wafahamu kinachoendelea nchini kwao,
Kilaza una akili fupi halafu unadhani kila mtu ana akili fupi kama wewe..hapo ndipo unapokosea,
Binafsi niliona twitter kule mkenya kapost nikacopy hiyo tweet nikaipost humu then ukakurupuka kuniquote nikaenda youtube nikatafuta hiyo video nikaileta humu,
Akili fupi kama sabuni za lodge [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ndio mpunguze shobo,
Kinachokuuma ni citizen tv kukiri kuwa wamekosea na kuomba msamaha [emoji23][emoji23][emoji23]
Nilijua nimeona kila kitu kumbe kuna wivu wa namna hii!
 
Ficha upumbavu wako huko,kipindi Fulani Museveni alipokuwa akihutubia kwenye sherehe mmoja hapo Kenya,alisema wakenya walioko mpakani mwa Uganda waache kuiba ng'ombe wake,wakenya mlipiga sana kelele,mbona hamkupotezea kama unavyosema?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…