Citizen Tv ya Kenya yaomba msamaha kwa matumizi ya "Ukaidi wa Magufuli"

Thank you for the history lesson
You give such blanket statements yet I clearly said...
We are talking about specific people with names.


Do you notice how you are attacking yourself?
Hint: kill, land, Kenyatta/Moi, rich?!! Get it?
But Lets digest for one second.....
First, I need to keep reminding you we are talking about very specic people here, no vague statements.
Benefit of doubt, Lets assume you were not boasting but giving advice how we should not boast about the wealth of hardworking genuine Tanzanian business men who happen to be of the minority Indian decent, but boast of the black tycoons. so you gave us an example of your country in a list. Your list includes people who are black but have done nothing but steal from you to be in that list. And that by brother, is your great awakening?!!
 
bado tunasubiri preliminary results kutoka Tanzania bara... naona bado wanasua sua. 147 + (23 kutoka Zanzibar) = 170.
Habari ya chini ya kapeti inasemekana kenya wagonjwa ni 479 serikali ya jubilii imeamua kuficha ili watu waone Kenya na Tanzania zinafanana idadi

Send by APOLO 1
 
Habari ya chini ya kapeti inasemekana kenya wagonjwa ni 479 serikali ya jubilii imeamua kuficha ili watu waone Kenya na Tanzania zinafanana idadi

Send by APOLO 1
Kilichopo chini ya kapeti ni ubongo wako!
Mzaha kwenye mambo serious acha
 
Kilichopo chini ya kapeti ni ubongo wako!
Mzaha kwenye mambo serious acha
True chini ya kapeti ya usalama wa taifa wa Kenya niliwai kusema kdf walikimbia kambi na kuacha wamarekani pekeyao kupigana na al shababu tena kdf wengine walikimbia wakiwa uchi mkabisha kuwa ni uongo ukweli ukajulikana ,sasa nakuambia wakenya 479 ni kweli tupu ila jubilii wanaitizama tz ili kujua ni wapi waseme ukweli au uongo kwa sababu wanaona jubilii inaweza kupata matatizo kisiasa pale inapoonekana tz inafanza good kuliko kenya

Send by APOLO 1
 
Ha! Walikimbia uchi toka kambini, aibu jamani!
Na wakawaacha wamarekani wapigane na alshababu pekeyao? Mh...
Wakorona nao Kumbe ni 479, alafu wanaficha! Hao watu ni wa ajabu sana!
 
List yenu imejaa familia za corrupt politicians and their tribal sidekicks, mostly Kalenjinis and Kikuyus. Pesa yote ya wizi.

Sisi hatuna mambo ya rangi, ukabila au udini, Mtanzania anaweza kuwa na asili ya mtu Mweusi, Kiarabu, Kihindi.

Tunechanganyika damu sana, nenda Zanzibar, Tabora, Singida, Shinyanga au Mbeya ndio utajua kuwa hao Waarabu au Wahindi ni waTZ kwelikweli na sio wahamiaji.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
This is coming from the same people who are always attacking us because white cutizens own land in our country. Stop being hypocrites. Those Indians you boast over are beneficiaries of the oppressive colonial government. Heri Mwafrika mwenzako kuliko beberu anayekuona Kama tumbili.
 
And this is coming from the same "people" who've defended white citizens (beberu anekuona kama tumbili) owning land in their country.
Epukana na hizi akili za kikabila na umimi. learn to judge people individually, usiseme heri mwafrica mwenzako alafu huyo mwafrica anaeongelewa ni kina Kenyatta, Moi, Raila, Biwot! Watu ambao Sio beneficiaries bali ndo system yenyewe!
Hardwork should be rewarded and wicked ways should be shunned regardless of color, tribe or religion.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…