Gautten Potten
JF-Expert Member
- Aug 22, 2022
- 1,642
- 3,426
Kutokana na Sheria kutoruhusu vilabu viwili tofauti vyenye mmiliki mmoja kushiriki michuano hiyo.
Kazi kwao kuchagua aende Nani abaki nani. ?
Angalizo : Vipi kuhusu
RB SALZBURG na RB LEIPZIG Hawa hawatufichi Jambo kweli ?
#Scores90
Kazi kwao kuchagua aende Nani abaki nani. ?
Angalizo : Vipi kuhusu
RB SALZBURG na RB LEIPZIG Hawa hawatufichi Jambo kweli ?
#Scores90