Gautten Potten JF-Expert Member Joined Aug 22, 2022 Posts 1,642 Reaction score 3,426 Dec 23, 2023 #1 Kutokana na Sheria kutoruhusu vilabu viwili tofauti vyenye mmiliki mmoja kushiriki michuano hiyo. Kazi kwao kuchagua aende Nani abaki nani. ? Angalizo : Vipi kuhusu RB SALZBURG na RB LEIPZIG Hawa hawatufichi Jambo kweli ? #Scores90
Kutokana na Sheria kutoruhusu vilabu viwili tofauti vyenye mmiliki mmoja kushiriki michuano hiyo. Kazi kwao kuchagua aende Nani abaki nani. ? Angalizo : Vipi kuhusu RB SALZBURG na RB LEIPZIG Hawa hawatufichi Jambo kweli ? #Scores90
Beberu JF-Expert Member Joined Jan 26, 2017 Posts 4,548 Reaction score 9,740 Dec 23, 2023 #2 Watashiriki wote tu mkuu