Civil Engineering- St. Joseph University in Tanzania

Nitoke povu kwa st Joseph?hahaha,kijana mimi nilifaulu ndio maana sikwenda hapo,ningekua na three na four ningekuja hapo but sikupata hizo,pia wahindi wafanya biashara tu ndio maana wanawalazimisha lazima hela ya mkopo wawaingizie exim bank?au naongopa?washkaj zangu wapo pale wanalalamika kila Leo,wewe limbukeni wa chuo ndio unaona umefika peponi

Sio kosa lako kua hivi.ni mfumo Wa malezi Wa elimu uliolelewa kuona msomi pekee atatoka DIT,COET AU MIST, Ila kumbuka mfumo Huo Huo ulituaminisha Azania,jangwani,mzumbe na ilibor ndo best schools.BT tunaona zero kibaoo.
 
sijui kwa miaka mingne lakin kwa mwaka huu 1 na 2 wapo waliopelekwa pale. Mi nna 2 ya 8 PCM bt nimechaguliwa pale.

C umepelekwa pale baada ya kumwagwa huko ulikochagua mwanzo,div 2 za BRN ni sawa na 4 ya miaka ya nyuma,na hakuna one hata moja pale uctake kuongopa
 
Sio kosa lako kua hivi.ni mfumo Wa malezi Wa elimu uliolelewa kuona msomi pekee atatoka DIT,COET AU MIST, Ila kumbuka mfumo Huo Huo ulituaminisha Azania,jangwani,mzumbe na ilibor ndo best schools.BT tunaona zero kibaoo.

Kuna zero but na vipanga wanatoka hapo,na hizo school labda ni bora kwa dar es salaam but hata hivyo hao Azania wameshatoa hadi T.O kama hujui,pili best schools kama huzijui za public basi ni kisimir,mzumbe,kibaha,tabora boys,ilboru, nk then rekebisha kauli yako zero kibao ilboru??unaota au?wewe soma uje uwe kibarua wa maengineer
 
Sio kosa lako kua hivi.ni mfumo Wa malezi Wa elimu uliolelewa kuona msomi pekee atatoka DIT,COET AU MIST, Ila kumbuka mfumo Huo Huo ulituaminisha Azania,jangwani,mzumbe na ilibor ndo best schools.BT tunaona zero kibaoo.

Utakuwa unachekesha kama utakuja kudanganya umma kuwa CoET, DITna MIST/ MUST si chochote kwenye Engineering. Miundo mbinu yote kwa asilimia kubwa wadau ni kutoka CoET, DIT, MUST na TCA. Hata kwenye game la Engineering serikalini, hao ni wadau wakubwa sana!
 
Napat tabu sana kukuelewa kijana mwenye mawazo kama yako.mnadanganyana sna mkiwa kwenye discussion.mnakosa opportunities nyingi sana kwa ujuha wenu Wa kujifanya mnajua kumbe MNA matatizo.hamtaki kushughulisha bongo zenu mnaishia kukariri tu.
 
We ndo kichwan kopo tupu. Unapat wapi ujasiri wa kubeza taasisi hizo nilizokutajia! Hata walimu wengi tu wanaotoa mafunzo.vyuo vingi vya Engineering ni products za sehemu tajwa. Hata part time lessons hufundishwa na watu waliopitia.sehem hizo.

Unatokwa na povu wakati jambo hilo ni facts. Hatusem hamna vyuo vingine la hasha. Lakini ukweli uliowaz kabisa huwezi kuzungumzia Engineering usitaje CoET, DIT, MUST na TCA. Itakuwa ni uongo wa mchana kweupe.
 
Then broo huyo anajua anabishana na mwanafunzi mwenzake hapo,na hata ukimuelewesha hataki kukubali,
 
Nlikua cjui kma naongea na wanafunzi .nmepoteza nguv nyingi kuwaelewesha wasioelewa.nawaonea Huruma sana walimu wenu.mungu ibariki Tanzania
 
Duuh huyo CHAZA amekua mwanafunzi Leo?we mkweli ni mgeni humu Jf,nakupa pole lakini ujitayarishe na kibarua,Mimi ni mwanafunzi ndio lakini sijamaliza chuo lakini vijikazi vidogo vidogo vya kubadilisha Mboga ninavyo,nakuhurumia wewe mpaka muda huu hujajua mustakbali wako,pole sana,karibu bsc in geomatics Ardhi university
 
Usione kila aliemo humu ni mbumbumbu kama wewe,unabishana na CHAZA unajua ni mwanafunzi mwenzako,nimeangalia profile yako kumbe umeingia juzi Jf hata miez miwili huna,sio kosa lako,watu wanakuzidi akili ndio maana wanasoma vyuo vyenye hadhi sio hicho kichochoro chenu mnapigiwa kengele kama watoto wa primary,engineer tokea lini anapigiwa kengele kuingia darasani na kukaguliwa daftari?unatakiwa ujue kujicommit mwenyewe boya wewe
 
Yaani ni ajabu. Mtu hata ERB haijui, bado anakariri masomo chuoni ananiita mimi mwanafunzi?! Ni utoto tu unamsumbua. Tumekuwa kwenye game la Engineering mwaka wa 9 sasa halafu mtoto ambae hata hajui kitu ananiita mimi mwanafunzi!! Hawa watoto wa vyuo wanavamia tu majukwaa wala taaluma yenyewe hawajawahi kupata hata mshahara anakurupuka kusema mimi mwanafunzi. Nilikuwa mwanafunzi wakati tunakarabat NASACO building na wachina miaka ike ya 2002/

Nadhani wakati ule wengine wananyonya yaani wako Primary.
Baadae Mlimani City Mall nimeshirik na Noremco. Jengo la LAPF pale Makumbusho nimeshirik kwenye design. Kutaja mengine kwa uchache tu.
 
Kijana wakati namaliza chuo ulikua form2!!hebu kua na adabu.kumbe naongea na kitoto cha chuo na siajabu una sap kibao znakupa stress plus hela ya mkopo hujapata .tatzo hamfundishwi kufikiri,mnameza tu kma kasuku ndio maana unajiona mjuajiii.
 
Then hukutakiwa kua kma ulivyo unajibu.hamfanani na Huyo dogo Wa 2rd year
 
Kijana wakati namaliza chuo ulikua form2!!hebu kua na adabu.kumbe naongea na kitoto cha chuo na siajabu una sap kibao znakupa stress plus hela ya mkopo hujapata .tatzo hamfundishwi kufikiri,mnameza tu kma kasuku ndio maana unajiona mjuajiii.

Hahahaaa,wakati unamaliza st Joseph au?na wewe unasema umemaliza chuo?shame on you!kwa taarifa yako nasoma Ardhi na mungu shahidi yangu sijaomba mkopo na alhamdullilah baba yangu ananilipia na hataki nichukue mkopo wa riba,kama nimeweza kulipa M2 na ushee st Matthews nitashindwaje kujisomesha Ardhi,na nasoma kwa malengo sijakurupuka kuchagua hii course kama wewe uliefeli ndio ukaenda huko,nakuhurumia unavyosota mtaani huna kazi,maana hakuna atakaekuajiri kwa chuo hicho cha kata, then unajua nipo mwaka wa ngapi saiv mpaka unasema nilikua form2 wakati unamaliza chuo?uache uboya
 
sijui kwa miaka mingne lakin kwa mwaka huu 1 na 2 wapo waliopelekwa pale. Mi nna 2 ya 8 PCM bt nimechaguliwa pale.

dogo bila shaka chaguo zako zilikuwa n kama zifuatazo
1. COET
2.ARDHI
3.D.I.T
4.MUST
5.ST JOSEPH
But competetion ndo imekupeleka huko ulipo.....

By the way CONSTRUCTION INDUSTRY its all about competent............
As an engineer upo site, general foremen anakupeleka peleka kisa hujui vitu " coz wao wanajua how to contruct but not why"....anakuambia hivi na wewe unataka vile but huwaambii "why" it means hujui.......ndo mwanzo wa kuiabisha taaluma yako.

soma,elewa, practise.........then faulu fresh

NB. huu ni utani tuu nasikia st joseph ma engineers wana graduate na GPA 4.4 kwenda mbelee ukipata chini ya hapo umefeli i.e 3.8 , ILA KAMA NI UKWELI BASI ST. JOSEPH NAPO SI HABA

KARIBU CONSTRUCTION INDUSTRY.
 
Kijana wakati namaliza chuo ulikua form2!!hebu kua na adabu.kumbe naongea na kitoto cha chuo na siajabu una sap kibao znakupa stress plus hela ya mkopo hujapata .tatzo hamfundishwi kufikiri,mnameza tu kma kasuku ndio maana unajiona mjuajiii.

CHAZA ametaja projects alizo participate haya tutajie na za kwako basi graduate wa st Josephs, nasubiria!
 
Haha huu mjadala una visa. Mkuu mtoa mada,experience ya engineer ndo inamfanya aaminike sio chuo alichosoma

Hata kama uwe umesoma MIT/Harvard huwezi kupewa miradi usimamie siku ya kwanza umemaliza chuo uwe resident engineer au project manager

ERB wameweka mfumo mzuri wa experience based engineering ambapo Graduate Engineer ana undergo apprentiship mbaka awe fully realised professional engineer.Baada ya hapo kutokana na experience anapandishwa hadhi mbaka anakuwa consultant engineer

Kwa hiyo mkuu usijali,we soma uhandisi kokote pale.Uzoefu wako ndo utaokupatia kazi sio chuo ulichosoma.Karibu katika fani
 
Back
Top Bottom