Nitoke povu kwa st Joseph?hahaha,kijana mimi nilifaulu ndio maana sikwenda hapo,ningekua na three na four ningekuja hapo but sikupata hizo,pia wahindi wafanya biashara tu ndio maana wanawalazimisha lazima hela ya mkopo wawaingizie exim bank?au naongopa?washkaj zangu wapo pale wanalalamika kila Leo,wewe limbukeni wa chuo ndio unaona umefika peponi
Sio kosa lako kua hivi.ni mfumo Wa malezi Wa elimu uliolelewa kuona msomi pekee atatoka DIT,COET AU MIST, Ila kumbuka mfumo Huo Huo ulituaminisha Azania,jangwani,mzumbe na ilibor ndo best schools.BT tunaona zero kibaoo.