Civil Engineering- St. Joseph University in Tanzania

Ckia we Punga,usibishe vitu usivovijua,amemaliza form 6 2008 na 2010 akaingia hapo,na amegraduate,alisoma miezi mi3 ya pre entry,mimi siwez kubishana na kitu nisichokijua,

Post traumatic dis-order accompined with Illusion na dillusion..

Hakika wewe ni wale mnaoambulia makarai kwenye matokeo yenu ukijitahidi sana una B plain....

Fool
 
Mara ya mwisho kupima magonjwa ya akili ni lini...?

Hivi mtu mwenye akili timamu unaweza m-quote mtu aliyetoa maelezo kama hayo kwa upuuzi huu uliondika hapa????

Hakika wewe ni mzigo na tahira kwa Taifa hili na wazazi wako..

Mkuu huyu dogo hata me amenishinda.yaaan anaongea ugolo adi nahisi dogo kama anamix viroba na gongo.maaana haelewi wala haeleweki.yaaan me angekua mwanangu namfungulia kaduka ka tigo pesa na kuuzA vocha tu bdala ya kulipa hela yangu ada.bure kabisa.
 

Mkuu unanifurahisha sana.nmejaribu kumuelewesha elimu za kukomoana kwa ivyo vyuo anavyoviona best BT bado analopoka pumba.inawezekana dogo sup znamchanganya huyu sio bure.anajivunia hela za wazazi wake wakati hajaweza hata nunua boxer kwa hela yake.yaaan nmemshangaa sana.pale coet walimkamata jamaa yangu alikua last year na alikua amepata project Zimbabwe.jamaa ikabidi awe mpole maana chet kiligoma.sass ni mambo gan haya kama sio kukomoana!!??
 
Unajua kuna watu ni waajabu sana...Marekani Top Universities ni Private...

Havard
Notre Dame
George Town
Boston
Columbia
John Hopskin

Vyote hivyo ni vyuo vya makanisa hakuna public vasities ktk top 30 ya US.....

Nakipongeza Chuo cha St. Joseph kwani hata miaka 10 hakijafikisha lakini mziki wake ni mnene....Sijui kikija fikisha miaka 20 itakyaje ..

Miaka ya 95 kurudi nyuma Shule za sec za Serikali zilikuwa kiboko...Na mwanafunzi aliyeenda Private alionekana kilaza na kudharauliwa sana...

Kwasasa nadhani mambo ni mengine....Watu wanakimbia Govermnent na wanapeleka watoto wao Private....Whyyyyyy????????
Marian
St. Francis
St. marry Goret
Rosmin
Feza
Loyola
Kifungilo
Kibosho............Hizi zote ndo kimbilio kwa Watanzania....je nini kimebadilika kutoka zamani...?

Once again big up St . Joseph University...Mna muda mchache ila mnakimbiza mbayaaa.....Nawapa miaka 10 mbele UDSM na Coet wataisoma namba...
 

Mi namshangaa....Ukitafuta Scholarship nje ya nchi, kitu cha kwanza wanaangalia ufaulu wako....Yani kama huna Upper au First imekula kwako....Chuo wala hawajali mradi kiwe kinafahamika...

Sasa huyu ndugu naona anajifurahisha hapa....
 

Kaka umenena vyema
 
Mi namshangaa....Ukitafuta Scholarship nje ya nchi, kitu cha kwanza wanaangalia ufaulu wako....Yani kama huna Upper au First imekula kwako....Chuo wala hawajali mradi kiwe kinafahamika...

Sasa huyu ndugu naona anajifurahisha hapa....

Pia kumbuka huh ukilitimba na mfumo wakukomoana kwa vyuo hivi vikongwe ndio iliokasababisha vijana wengi kukata tamaa na phan ya engendering.wengi walikimbia masomo wakaenda fani wasizokua na mapenzi nazo.wengine waliogopa kabisaa kuzisoma na wengine walikoaa udahili kabissa.ndio maaana hata kwenye sokp walikua wachache sana na tukawa na uhaba sana Wa experts Wa izo fani.unakuta kamradi kadogo anapewa mkandaras Wa nje.anakuja na vijana wadogo sana maengeneer,sasa naona mapinduzi yameibadirisha hii fani angalau vijana wanaweza kutimiza ndoto zao na kulipa tija taifa.
 

hahahaha umesoma miaka ipi mkuu.... now days wazaz wengi wanapenda watoto zao kusoma government schools kwa ADVANCED LEVEL- A LEVEL but o level wanawasomesha private...................chuo ndo usiseme n GOVERNMENT FIRST.

mkuu hivi umesoma chuo gan, na fani ipi? umegraduate mwaka gan
 

Jidanganye mkuu....

Mkuu ngona nikuambie....wewe nadhani una akili timamu sawa! Ukiangalia kwa makini ktk shule 10 bora kidato cha sita Ilboru, Kibaha na the likes wanafanya vyema.....Ukiangalia kwa makini nafasi ya 11 mpaka 50 hakuna takataka ya Serikali inagusa hapo....

Na mambo yanabadilika kwasasa....Soon hizo kibaha na blah blah zitaondolewa kwenye top lots za Taifa...
Ndugu muda ni mwalimu mzuri...Nimekuambia ngoja tuvipe vyuo hivi muda utaniambia....

Elimu yangu mimi wewe haikuhusu..
 

kama elimu yako ni siri yako mwenyewe napata mashaka na elimu yako.........! JIKUBALI MKUU HAPA TUNAELEKEZANA TUU:embarrassed:
 

Shule gani izo za gvt wazazi wanazipenda???yaaan nahakikishia alhakuna mzazi anaetamani mwanae a some shule za gvt ila uwezo tu ndo kikwazo!!!izo shule zilikua zaman.kwa sass ziko hoi bin taaban.ukiziona unaweza kulia.ni kama magofu.unajua private za advance znaanza kufuguliwa kabla selection hazijatoka za form5 na zinajaa almost zote.!!!
 

Sikiliza we boya huyo jamaa hajareseat usijipe moyo,amesoma hapo na S zake flat,na nyinyi jipeni moyo coz wakati mnamaliza form 6 mlikua na malengo ya kusoma sehemu flan baada ya kupata matokeo machafu mkaenda huko ndio mnajifanya ndio mnajua kuongea,mtake msitake hicho sio chuo mnatapeliwa na wahindi tu hapo
 
siyo mmoja nawajua wanafunzi kumi na tatu wako kwenye hivyo vyuo walitoka st.joseph wanne wanaenda kuanza 1st yr,9 wanaenda kuingia 2nd yr

Wataje na course wanazokwenda,watu hawachukui makapi kule naomba hao wanaoendelea majina yao n course zao please, nataka kuthibitisha hilo
 

Daah kumbe nyinyi kweli mburula,kumbe mnafkiria kutoa first class nyingi ndio ubora wa chuo?chuo sio shule nyinyi kama ni hivyo katika rank za vyuo bas mngekua mpo juu,kumbe mnasoma ili mpate scholarship za master?ninachokwambia kijana huwezi kushindana na watu wa vyuo nilivyokutajia,huwawezi kwa ufaulu na skills za darasani,Mimi najua moyoni mwenu mnapapenda UDSM ,ARU nk but ndio hivy uwezo hamna ndio maana mkakimbilia huko kwa waliofeli,na mmeanza kugraduate hapo tokea 2007 but sijawah kuwaona hata mmoja graduate wenu amesimama mradi,wapo kibao mitaani hawana kazi mpaka kuna mmoja ameamua kuwa teller barclays, hivi kutoka engineering mpaka uteller wapi na wapi?
 
Mi namshangaa....Ukitafuta Scholarship nje ya nchi, kitu cha kwanza wanaangalia ufaulu wako....Yani kama huna Upper au First imekula kwako....Chuo wala hawajali mradi kiwe kinafahamika...

Sasa huyu ndugu naona anajifurahisha hapa....

Chuo sio shule ndugu yangu,rank za chuo hazipangwi kwa first class nyingi,chuo chenu mpaka leo mnakitangazia kwenye radio na tv kutafuta watu,kubalini tu hapo hamna kitu wakuu
 

sio kweli. Na wengi wanaofanya hivyo ni kwa wasiwasi wa kukosa mkopo chuo kikuu. But shule nzuri na zinazokimbiliwa ni za private.
 
UJINGA SUMU... na ndio maana wabongo masikini... Hapa suala sio kubishana elimu ya huku ndogo kulingana na elimu ya kule cha maana ni kubadilishana mawazo kwa kile unachokipata sehemu flan naamin huko usomapo ww kuna ki2 unakosa na anaposoma mwngne kuna ki2 anakosa kwani hakuna chuo ambacho malecturer ni malaika wote ni binadam na kila m2 anamapungufu yake.... Vinginevyo 2takwenda mbele hatua nane tunarudi nyuma hatua 12... Nimeshawah kusoma primary kwa wahindi wapo makini hakuna ubabaishaji wa kibongo hutaki hiki sepaa,, hujalipa ada sepaa, wabongo tunahs tunaonewaa... Reagany ucjal ndgu., pa1 sana mi mwenyewe nimepangwa hukohuko...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…