Civil Engineering- St. Joseph University in Tanzania

Civil Engineering- St. Joseph University in Tanzania

Ckia we Punga,usibishe vitu usivovijua,amemaliza form 6 2008 na 2010 akaingia hapo,na amegraduate,alisoma miezi mi3 ya pre entry,mimi siwez kubishana na kitu nisichokijua,

Post traumatic dis-order accompined with Illusion na dillusion..

Hakika wewe ni wale mnaoambulia makarai kwenye matokeo yenu ukijitahidi sana una B plain....

Fool
 
Mara ya mwisho kupima magonjwa ya akili ni lini...?

Hivi mtu mwenye akili timamu unaweza m-quote mtu aliyetoa maelezo kama hayo kwa upuuzi huu uliondika hapa????

Hakika wewe ni mzigo na tahira kwa Taifa hili na wazazi wako..

Mkuu huyu dogo hata me amenishinda.yaaan anaongea ugolo adi nahisi dogo kama anamix viroba na gongo.maaana haelewi wala haeleweki.yaaan me angekua mwanangu namfungulia kaduka ka tigo pesa na kuuzA vocha tu bdala ya kulipa hela yangu ada.bure kabisa.
 
Tabia yako haina tofauti na member mwenye ID inayoitwa Mpigamsuli....

Sikiliza nikwambie kitu we zuzu mwenye hasara kwa maisha yako na familia yako, hapo unaposoma UDSM utatoka na Pass na wenzako wa St. Joseph wanatoka na First class....Nakuambia hivi hata masters kusoma wewe itakuwa mbinde...

Kwasasa hata Scholarship nje ya nchi wanaangalia ufaulu wako ndugu na wala si chuo...

Endelea kuleta majigambo mbuzi ukishamaluza ndo utajua mziki wake nini....

Ngoja nikupe mfano, kuna scholrship za afya zimetoka nchi ya Norway kwa kuwa MUHAS wanakomoa wanafunzi wao na mwisho wa siku watu wanamaliza na pass,, KCMC ambapo waliochaguliwa walikuwa na Div 3 ya PCB karibu 90% wamepata scholrship Norway kwa kuwa ufaulu wao ni wajuu......Ndugu siku hizi Scholrship zinatolewa kwa kuangalia Academic Merits.....

Kama unabisha google scholarship eligibility uone....Hupati Scholarship kama huna Upper au First Class....Ndugu chuo hakiangaliwii kabisaaaaaaaa......Leta mambo ya kizamani hapa....

We endelea kung"aa macho na UDSM yako uone moto utakavyokuwakia baadae wakati wenzako wanapeta....

Wenzako wakiwa final year hapo St. Joseph wanapata exchange program India....Daaah...Ameshang'arisha CV yake safiiiii.....We utabaki unang'aa macho kaa duanzi....

Mkuu unanifurahisha sana.nmejaribu kumuelewesha elimu za kukomoana kwa ivyo vyuo anavyoviona best BT bado analopoka pumba.inawezekana dogo sup znamchanganya huyu sio bure.anajivunia hela za wazazi wake wakati hajaweza hata nunua boxer kwa hela yake.yaaan nmemshangaa sana.pale coet walimkamata jamaa yangu alikua last year na alikua amepata project Zimbabwe.jamaa ikabidi awe mpole maana chet kiligoma.sass ni mambo gan haya kama sio kukomoana!!??
 
Unajua kuna watu ni waajabu sana...Marekani Top Universities ni Private...

Havard
Notre Dame
George Town
Boston
Columbia
John Hopskin

Vyote hivyo ni vyuo vya makanisa hakuna public vasities ktk top 30 ya US.....

Nakipongeza Chuo cha St. Joseph kwani hata miaka 10 hakijafikisha lakini mziki wake ni mnene....Sijui kikija fikisha miaka 20 itakyaje ..

Miaka ya 95 kurudi nyuma Shule za sec za Serikali zilikuwa kiboko...Na mwanafunzi aliyeenda Private alionekana kilaza na kudharauliwa sana...

Kwasasa nadhani mambo ni mengine....Watu wanakimbia Govermnent na wanapeleka watoto wao Private....Whyyyyyy????????
Marian
St. Francis
St. marry Goret
Rosmin
Feza
Loyola
Kifungilo
Kibosho............Hizi zote ndo kimbilio kwa Watanzania....je nini kimebadilika kutoka zamani...?

Once again big up St . Joseph University...Mna muda mchache ila mnakimbiza mbayaaa.....Nawapa miaka 10 mbele UDSM na Coet wataisoma namba...
 
Mi namshangaa....Ukitafuta Scholarship nje ya nchi, kitu cha kwanza wanaangalia ufaulu wako....Yani kama huna Upper au First imekula kwako....Chuo wala hawajali mradi kiwe kinafahamika...

Sasa huyu ndugu naona anajifurahisha hapa....
 
karibu bwana mdogo,maelezo yangu ni mengi mno lakini tafadhali yasome yote hii ni kwaajili ya kufukia mashimo ya wanaopotosha kuwa st.joseph ni chuo cha fm6 failures yatakusaidia sana kuclear doubts zako nyingi
mimi nipo pale tangu mwaka 2012,ni kweli wanafunzi wengi wanaosoma pale wana ufaulu wa pts 14,15,16 na 17(hiz n points za zamani)
hakuna chuo chochote kinachojipangia marks kwa ajili ya kudahili wanafunzi wa degree bila kuwa approved na TCU,kwaiyo kulingana na mashariti ya tcu minimum requirements zinazotakiwa kwa mwanafunzi kusoma degree ni principal(E) mbili,ambapo kwa hesabu ya haraka ni kitu ambacho hakiwezekani kwa mtu mwenye dvsn four ya pts 18 kuwa na izo principal pass mbili kwaiyo ni upotoshaji tena udhalilishaji kwa taasisi ya Tcu kuisingizia kuwa inadahili wanafunzi wenye dvsn 4 na kuwapeleka st.joseph,sababu wanafunzi wa st.joseph hudahiliwa na tcu yenyewe
Tcu ndio walioanzisha utaratibu wa pre entry na kuviruhusu vyuo vyote vinavyotaka kuendesha programu hiyo vidahali wanafunzi wenye ufaulu usio na principal mbili lakini angalau wawe na principal moja na subsiduary moja na program iendeshwe kwa kipindi cha miezi mitatu kisha chuo kitume majina tcu kwa ajili ya wanafunzi hao kuwa approved na kuruhusiwa kusoma degree,kwaiyo aliyedai kuwa st.joseph kuna wanafunzi wenye S flat fm6 amelipotosha jukwaa na tena ameidhalilisha tcu
Mwaka 2012 tcu iliufuta utaratibu wa pre entry ya miezi mitatu na kuanzisha utaratibu wa post fm 6 certificate ambapo badala ya wanafunzi wasio na principal 2 kusoma miezi mitatu,ilitakiwa wasome mwaka mzima na kisha baada ya hapo wanapewa cheti then wanaopt kuendelea kusoma degree palepale st.joseph ama wanajiunga na vyuo vingine kupitia central admission,na kuthibitisha hilo wanafunzi wa batch ya 1 kupitia program walidahiliwa ktk vyuo vya MZUMBE,NIT,MUST,SAUT na pia kuna wanafunzi waliosoma hiyo program mwaka huu wamedahiliwa UDSM,DIT,ARDHI na SUA kwaiyo wale mnaodai eti st.joseph ni chuo cha kichochoroni naomben kuanzia sasa mtambue kuwa udsm,dit,ardhi,sua,mist na mzumbe navyo ni vyuo vya kata kwa sababu wamekubali kudahili makapi na matakataka toka st.joseph ambao walifeli fm6
kuhusu ada kulinganisha st.joseph na saut siyo haki,sababu saut ina ada ndogo kuliko vyuo vyote vya serikali ukiondoa udom,hii ni sababu ni chuo cha muda mrefu na kina ruzuku kubwa toka serikalini,naomba tulinganishe ada ya st.joseph na ada ya st.john pamoja na tumaini ambavyo navyo ni vyuo vya private,ada ya education st.john ni 1.6 mil,ada ya education tumain 1.6 mil,ada ya education kampala n 2.2 mil,ada ya education st.joseph ni 1.75 mil,sasa unapata wapi ujasiri wa kuwaita wahindi matapeli wakati wana ada sawa na vyuo vingine vya private ambavyo ni vya wazawa???
Sawa ada ya st.joseph kwa engineering ni 2.75 mil,hii ni kwa sababu engineering n kozi zinazodemand practical na facilities zenye gharama kubwa na hata walimu pia wanademand mishahara mikubwa na ikumbukwe kuwa st.joseph ni chuo pekee cha private kwa engineering tz,saut wameanzisha civil na electrical mwaka jana na wanachukua wanafunzi wachache wasiozid 40,ili kukwepa gharama za kuendesha koz,maana yake ata tumaini leo wakianzisha engineering ada yao itakuwa kati ya 2.5-3.0 mil
All in all dogo karibu,nimeongea mengi lakin changamoto apa zipo,sheria ni kali,kwa muhindi no discipline no academic perfomance,ni pindi kuanzia asubuh mpaka saa tisa,na ole wako attendance yako darasan ikiwa chin ya 85% hufanyi mtihan wa semester,kila mwezi kuna CAT,assignments na mitihan ni mingi mno,hurusiwi kuvaa sendoz maeneo ya chuo,kama wewe ni sharobaro apa utapata taabu ni mwiko kuvaa kihuni ukiwa chuoni,then nakushauri ufungue akaunti exim bank lasivyo bumu utalisikia kwenye bomba

Kaka umenena vyema
 
Mi namshangaa....Ukitafuta Scholarship nje ya nchi, kitu cha kwanza wanaangalia ufaulu wako....Yani kama huna Upper au First imekula kwako....Chuo wala hawajali mradi kiwe kinafahamika...

Sasa huyu ndugu naona anajifurahisha hapa....

Pia kumbuka huh ukilitimba na mfumo wakukomoana kwa vyuo hivi vikongwe ndio iliokasababisha vijana wengi kukata tamaa na phan ya engendering.wengi walikimbia masomo wakaenda fani wasizokua na mapenzi nazo.wengine waliogopa kabisaa kuzisoma na wengine walikoaa udahili kabissa.ndio maaana hata kwenye sokp walikua wachache sana na tukawa na uhaba sana Wa experts Wa izo fani.unakuta kamradi kadogo anapewa mkandaras Wa nje.anakuja na vijana wadogo sana maengeneer,sasa naona mapinduzi yameibadirisha hii fani angalau vijana wanaweza kutimiza ndoto zao na kulipa tija taifa.
 
Unajua kuna watu ni waajabu sana...Marekani Top Universities ni Private...

Havard
Notre Dame
George Town

Boston
Columbia
John Hopskin

Vyote hivyo ni vyuo vya makanisa hakuna public vasities ktk top 30 ya US.....

Nakipongeza Chuo cha St. Joseph kwani hata miaka 10 hakijafikisha lakini mziki wake ni mnene....Sijui kikija fikisha miaka 20 itakyaje ..

Miaka ya 95 kurudi nyuma Shule za sec za Serikali zilikuwa kiboko...Na mwanafunzi aliyeenda Private alionekana kilaza na kudharauliwa sana...

Kwasasa nadhani mambo ni mengine....Watu wanakimbia Govermnent na wanapeleka watoto wao Private....Whyyyyyy????????
Marian
St. Francis
St. marry Goret
Rosmin
Feza
Loyola
Kifungilo
Kibosho............Hizi zote ndo kimbilio kwa Watanzania....je nini kimebadilika kutoka zamani...?

Once again big up St . Joseph University...Mna muda mchache ila mnakimbiza mbayaaa.....Nawapa miaka 10 mbele UDSM na Coet wataisoma namba...

hahahaha umesoma miaka ipi mkuu.... now days wazaz wengi wanapenda watoto zao kusoma government schools kwa ADVANCED LEVEL- A LEVEL but o level wanawasomesha private...................chuo ndo usiseme n GOVERNMENT FIRST.

mkuu hivi umesoma chuo gan, na fani ipi? umegraduate mwaka gan
 
Jidanganye mkuu....

Mkuu ngona nikuambie....wewe nadhani una akili timamu sawa! Ukiangalia kwa makini ktk shule 10 bora kidato cha sita Ilboru, Kibaha na the likes wanafanya vyema.....Ukiangalia kwa makini nafasi ya 11 mpaka 50 hakuna takataka ya Serikali inagusa hapo....

Na mambo yanabadilika kwasasa....Soon hizo kibaha na blah blah zitaondolewa kwenye top lots za Taifa...
Ndugu muda ni mwalimu mzuri...Nimekuambia ngoja tuvipe vyuo hivi muda utaniambia....

Elimu yangu mimi wewe haikuhusu..
 
kama elimu yako ni siri yako mwenyewe napata mashaka na elimu yako.........! JIKUBALI MKUU HAPA TUNAELEKEZANA TUU:embarrassed:
 
hahahaha umesoma miaka ipi mkuu.... now days wazaz wengi wanapenda watoto zao kusoma government schools kwa ADVANCED LEVEL- A LEVEL but o level wanawasomesha private...................chuo ndo usiseme n GOVERNMENT FIRST.

mkuu hivi umesoma chuo gan, na fani ipi? umegraduate mwaka gan

Shule gani izo za gvt wazazi wanazipenda???yaaan nahakikishia alhakuna mzazi anaetamani mwanae a some shule za gvt ila uwezo tu ndo kikwazo!!!izo shule zilikua zaman.kwa sass ziko hoi bin taaban.ukiziona unaweza kulia.ni kama magofu.unajua private za advance znaanza kufuguliwa kabla selection hazijatoka za form5 na zinajaa almost zote.!!!
 
sasa nimeanza kuelewa ni sehemu gani unapotoka
inawezekana kweli jamaa yako 2008 alipata s flat,lakin kaja kaanza chuo 2010,apo pana gepu la miaka 2 sasa utajuaje kama aliresit mtihan na 2010 akaunganisha vyetii? Unaweza kunithibitishia vp kuwa alitumia matokeo yaleyale ya 2008?
Anyway kama ni kweli huyo mchizi ana mkopo? na kama ana mkopo ni kwanini bodi ya mikopo(HESLB) imetoa mkopo kwa mwanafunzi asiye na vigezo vya kusoma degree??

Sikiliza we boya huyo jamaa hajareseat usijipe moyo,amesoma hapo na S zake flat,na nyinyi jipeni moyo coz wakati mnamaliza form 6 mlikua na malengo ya kusoma sehemu flan baada ya kupata matokeo machafu mkaenda huko ndio mnajifanya ndio mnajua kuongea,mtake msitake hicho sio chuo mnatapeliwa na wahindi tu hapo
 
siyo mmoja nawajua wanafunzi kumi na tatu wako kwenye hivyo vyuo walitoka st.joseph wanne wanaenda kuanza 1st yr,9 wanaenda kuingia 2nd yr

Wataje na course wanazokwenda,watu hawachukui makapi kule naomba hao wanaoendelea majina yao n course zao please, nataka kuthibitisha hilo
 
Tabia yako haina tofauti na member mwenye ID inayoitwa Mpigamsuli....

Sikiliza nikwambie kitu we zuzu mwenye hasara kwa maisha yako na familia yako, hapo unaposoma UDSM utatoka na Pass na wenzako wa St. Joseph wanatoka na First class....Nakuambia hivi hata masters kusoma wewe itakuwa mbinde...

Kwasasa hata Scholarship nje ya nchi wanaangalia ufaulu wako ndugu na wala si chuo...

Endelea kuleta majigambo mbuzi ukishamaluza ndo utajua mziki wake nini....

Ngoja nikupe mfano, kuna scholrship za afya zimetoka nchi ya Norway kwa kuwa MUHAS wanakomoa wanafunzi wao na mwisho wa siku watu wanamaliza na pass,, KCMC ambapo waliochaguliwa walikuwa na Div 3 ya PCB karibu 90% wamepata scholrship Norway kwa kuwa ufaulu wao ni wajuu......Ndugu siku hizi Scholrship zinatolewa kwa kuangalia Academic Merits.....

Kama unabisha google scholarship eligibility uone....Hupati Scholarship kama huna Upper au First Class....Ndugu chuo hakiangaliwii kabisaaaaaaaa......Leta mambo ya kizamani hapa....

We endelea kung"aa macho na UDSM yako uone moto utakavyokuwakia baadae wakati wenzako wanapeta....

Wenzako wakiwa final year hapo St. Joseph wanapata exchange program India....Daaah...Ameshang'arisha CV yake safiiiii.....We utabaki unang'aa macho kaa duanzi....

Daah kumbe nyinyi kweli mburula,kumbe mnafkiria kutoa first class nyingi ndio ubora wa chuo?chuo sio shule nyinyi kama ni hivyo katika rank za vyuo bas mngekua mpo juu,kumbe mnasoma ili mpate scholarship za master?ninachokwambia kijana huwezi kushindana na watu wa vyuo nilivyokutajia,huwawezi kwa ufaulu na skills za darasani,Mimi najua moyoni mwenu mnapapenda UDSM ,ARU nk but ndio hivy uwezo hamna ndio maana mkakimbilia huko kwa waliofeli,na mmeanza kugraduate hapo tokea 2007 but sijawah kuwaona hata mmoja graduate wenu amesimama mradi,wapo kibao mitaani hawana kazi mpaka kuna mmoja ameamua kuwa teller barclays, hivi kutoka engineering mpaka uteller wapi na wapi?
 
Mi namshangaa....Ukitafuta Scholarship nje ya nchi, kitu cha kwanza wanaangalia ufaulu wako....Yani kama huna Upper au First imekula kwako....Chuo wala hawajali mradi kiwe kinafahamika...

Sasa huyu ndugu naona anajifurahisha hapa....

Chuo sio shule ndugu yangu,rank za chuo hazipangwi kwa first class nyingi,chuo chenu mpaka leo mnakitangazia kwenye radio na tv kutafuta watu,kubalini tu hapo hamna kitu wakuu
 
hahahaha umesoma miaka ipi mkuu.... now days wazaz wengi wanapenda watoto zao kusoma government schools kwa ADVANCED LEVEL- A LEVEL but o level wanawasomesha private...................chuo ndo usiseme n GOVERNMENT FIRST.

mkuu hivi umesoma chuo gan, na fani ipi? umegraduate mwaka gan

sio kweli. Na wengi wanaofanya hivyo ni kwa wasiwasi wa kukosa mkopo chuo kikuu. But shule nzuri na zinazokimbiliwa ni za private.
 
UJINGA SUMU... na ndio maana wabongo masikini... Hapa suala sio kubishana elimu ya huku ndogo kulingana na elimu ya kule cha maana ni kubadilishana mawazo kwa kile unachokipata sehemu flan naamin huko usomapo ww kuna ki2 unakosa na anaposoma mwngne kuna ki2 anakosa kwani hakuna chuo ambacho malecturer ni malaika wote ni binadam na kila m2 anamapungufu yake.... Vinginevyo 2takwenda mbele hatua nane tunarudi nyuma hatua 12... Nimeshawah kusoma primary kwa wahindi wapo makini hakuna ubabaishaji wa kibongo hutaki hiki sepaa,, hujalipa ada sepaa, wabongo tunahs tunaonewaa... Reagany ucjal ndgu., pa1 sana mi mwenyewe nimepangwa hukohuko...
 
Back
Top Bottom