Civil Procedure in Tanzania:Student's Mannual By Chipeta

nyelesa

Member
Joined
Apr 18, 2010
Posts
63
Reaction score
18
WapendwJF
Naomba msaada wa kupata nakala ya Kitabu tajwa hapo.Kitabu hiki kwa sasa hakipatikana kwa urahisi kufuatia publisher wake MKUKKI kutotoa vitabu kwa muda mrefu.Nimejaribu kutafuta Amazon,nako hakipatikani.Kwa mantiki hiyo naomba kwa yeyote aliyenacho anisaidie kupata soft copy.Wanawasilisha tafadhali.
Ahsante
 
Kama upo Dar, nenda maeneo ya Tancot house. Kuna wajamaa wanaouza vitabu. Show them Tshs 30k, tell them the book you want then wait for about ten minutes. Watakuletea.
 
Ahsante kwa ushauri wako,lakini inakuwa ngumu kwangu kwa sababu niko nje ya nchi.Ninazidi kuomba kwa msamaria aliye na soft copy anisaidie.
 
WapendwJF
Naomba msaada wa kupata nakala ya Kitabu tajwa hapo.Kitabu hiki kwa sasa hakipatikana kwa urahisi kufuatia publisher wake MKUKKI kutotoa vitabu kwa muda mrefu.Nimejaribu kutafuta Amazon,nako hakipatikani.Kwa mantiki hiyo naomba kwa yeyote aliyenacho anisaidie kupata soft copy.Wanawasilisha tafadhali.
Ahsante

Nenda library ya SAUT mwanza floor ya tatu imeandikwa for Law Students only, utapata hicho kitabu na vingine vingi visivyopatikana kiurahisi pia vimehifadhiwa kwa soft copy kwenye laptops, tazama na kusoma catalogue vizuri unapoingia au kama una rafiki SAUT wasiliana naye
 
Nitajitahidi kutafuta rafiki hapo SAUT.Ahsante kwa msaada wako
 
Back
Top Bottom