Civilian-Coin: WAJIBU wa Askari jeshi(JWTZ) kwa raia na nchi

Civilian-Coin: WAJIBU wa Askari jeshi(JWTZ) kwa raia na nchi

C-C Digital Pro

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2026
Posts
361
Reaction score
532
ProfilePic_1783098426477_1.jpg

Wajibu mkuu wa askari jeshi kwa wananchi ni kulinda Katiba, mipaka ya nchi, na usalama wa wananchi pamoja na mali zao dhidi ya tishio lolote la ndani au nje.

Kulingana na miongozo ya jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), majukumu ya msingi kwa jamii yamegawanyika katika maeneo yafuatayo:

  • Ulinzi na Usalama: Kulinda uhuru wa nchi na mipaka yake dhidi ya uvamiwi wa kijeshi wa kigeni.
  • Misaada ya Kibinadamu: Kushirikiana na mamlaka za kiraia kuokoa maisha na kutoa misaada wakati wa majanga kama mafuriko au dharura.
  • Elimu kwa Umma: Kufundisha na kuelimisha jamii kuhusu uzalendo na shughuli za ulinzi wa Taifa.
Tupate mapumziko ya remix ya whenever wherever kati ya Shakira na Civilian-Coin.

View: https://youtu.be/2RwbfaJVfTk?si=hoOTgYevgNp8aNlx
Swala Langu Civilian-Coin Nalimi Kisandu(CIVILIAN-COIN) ni je jeshi la wananchi huwa linaingilia kati pale majeshi madogo madogo yanapo pwaya? Kuna wakati wananchi wanalalamika Sana kuhusi Polisi na pale Wafungwa wanapoilalamikia magereza kuwakandamiza Sana kuliko utu hata kidogo, lakini JWTZ wanakuwa kimya Sana. Je ni kwanini? (Tupate break ya muziki kati ya Maria Carey na Civilian-Coin, touch my body remix),
View: https://youtu.be/BIVfUcyhhyc?si=Kn5yhNF1AQ6mBhAJ
Askari jeshi ni Mkuu kuliko askari Polisi na ni Mkuu kuliko askari magereza, Sasa Askari jeshi ana mamlaka ya kuingilia pale mwananchi anapobuguziwa au kuingiliwa maisha yake binafsi na Polisi na Magereza. Askari jeshi ndio dira kuu ya ulinzi na usalama binafsi wa raia. Kwa Leo Civilian-Coin naishia hapa, nawaacha na Ngoma ya Home boy;
View: https://youtu.be/YnbAqvz_8h0?si=CGt3MRdjlGKMdMGn
Screenshot_20260624-092931_1.jpg
Screenshot_20260715-165939.png
Screenshot_20260715-211320.png
Screenshot_20260716-074817.png
Screenshot_20260716-212717.png
Screenshot_20260717-080330.png
 

Attachments

  • Screenshot_20260715-165939.png
    Screenshot_20260715-165939.png
    315.6 KB · Views: 13
Back
Top Bottom