Wajibu mkuu wa askari jeshi kwa wananchi ni kulinda Katiba, mipaka ya nchi, na usalama wa wananchi pamoja na mali zao dhidi ya tishio lolote la ndani au nje.
Ulinzi na Usalama: Kulinda uhuru wa nchi na mipaka yake dhidi ya uvamiwi wa kijeshi wa kigeni.
Misaada ya Kibinadamu: Kushirikiana na mamlaka za kiraia kuokoa maisha na kutoa misaada wakati wa majanga kama mafuriko au dharura.
Elimu kwa Umma: Kufundisha na kuelimisha jamii kuhusu uzalendo na shughuli za ulinzi wa Taifa.
Tupate mapumziko ya remix ya whenever wherever kati ya Shakira na Civilian-Coin. View: https://youtu.be/2RwbfaJVfTk?si=hoOTgYevgNp8aNlxSwala Langu Civilian-Coin Nalimi Kisandu(CIVILIAN-COIN) ni je jeshi la wananchi huwa linaingilia kati pale majeshi madogo madogo yanapo pwaya? Kuna wakati wananchi wanalalamika Sana kuhusi Polisi na pale Wafungwa wanapoilalamikia magereza kuwakandamiza Sana kuliko utu hata kidogo, lakini JWTZ wanakuwa kimya Sana. Je ni kwanini? (Tupate break ya muziki kati ya Maria Carey na Civilian-Coin, touch my body remix),
View: https://youtu.be/BIVfUcyhhyc?si=Kn5yhNF1AQ6mBhAJAskari jeshi ni Mkuu kuliko askari Polisi na ni Mkuu kuliko askari magereza, Sasa Askari jeshi ana mamlaka ya kuingilia pale mwananchi anapobuguziwa au kuingiliwa maisha yake binafsi na Polisi na Magereza. Askari jeshi ndio dira kuu ya ulinzi na usalama binafsi wa raia. Kwa Leo Civilian-Coin naishia hapa, nawaacha na Ngoma ya Home boy;
View: https://youtu.be/YnbAqvz_8h0?si=CGt3MRdjlGKMdMGn