CJ Mutunga denies bribe claims

CJ Mutunga denies bribe claims

Kabaridi

Raila amenukukuliwa akisema Mahakama ya Mutunga ni "bandia"
Hii sio vyema hivi majuzi CJ alikuwa rafiki ya raila wa karibu sana na alikuwa na imani na CJ baada ya kushindwa anashtumu CJ kutompa urais. halafu muulize kwaninin kapewa jina kigeugeu. Hivi raila kichwa chake hakiwezi weka kauli.?
Kiambu mafia hebu tuweke chanzo
 
Kabaridi

Raila amenukukuliwa akisema Mahakama ya Mutunga ni "bandia"
Raila mwenye ni mwongo dhahiri. Alienda Mombasa Kudanganya wafuasi wake kwamba alishinda kwa kura Million Moja unusa hili hali alishindwa kwa kura lakhi nane na zaidi. Baada ya hapo akenda Kisumu Kudanganya kwamba alisulumbishwa na CJ Mutunga. Yeye kapeleka ndrama na asarakasi kortini badala ya ushahidi. Hivi hata wandani wake wanakiri kwamba Uhuru alimshinda Raila kwa kiasi kikubwa, lakini wanadai kwamba hakufikia kiwango cha asili mia 50 +1. Hii haikuwa kura ya maoni.
 
Nauliza kama ule uchaguzi ulikuwa neck to neck how comes Uhuru aongoze wanzo mwisho bila up and down???....ndio Raila amekubali tokeo,lakini pale kuna mchezo ulichezwa,na hii tabia ya Wakikuyu kufikiri kuwa wao ndio watawala tu.....moto utakuja waka tena....
 
Panga la shaba

Mwanzo umekosea, uchaguzi haukua neck to neck, jamaa alishindwa kwa kura almost millioni moja. Raila mwenyewe alikuwa ame predict a two horse race, akiashiria yeye na Uhuru. Wengine aliwaita punda!.

Ilivyotokea, kweli farasi zilikua mbili, Uhuru na 50%+1, raila aliishia kua punda.

Pili WaKikuyu peke yao wako 17% ya Kenyas population, the rest 0ver 33% wenye walimfanya Uhuru kushida si WanaKikuyu
Kama uonavyo,hii dhana yako kua...
.
na hii tabia ya Wakikuyu kufikiri kuwa wao ndio watawala tu
.....ni potovu na haina msingi.
 
its not Raila blaming mutunga,mutungu analaumiwa na wakenya ambao walitegemea lile jopo la majaji kutenda haki..by the way hata mtoto mdogo anajua uhuruto wasingeweza kupata 50+1,lakini tume ya iebc pamoja na wakikuyu wanaoshika nafasi zote nyeti serikalini wakapanga jinsi ya kuwadhulumu wakenya haki yao.
Huo ni UHAYAWANI huwezi kuwasemea waKENYA eti wamedhulumiwa na walikuwa wanamtaka Raila Odinga
Huyo Mutunga toka mwanzo alikuwa ni wa Raila lakini ameangalia manufaa ya wakenya na kuwaondolea vurugu ni heri kumpunzisha huyo JALUO na tunamshauri arudi kijijini mambo ya URAIS asahau kabisa sasa awaachie kina Ruto na vijana wasiopenda vurugu
Hivi kwanini hampendi kushindwa? kila uchaguzi mnataka Raila ashinde, au jaluo atawale kwani mkitawaliwa mtakosa nini
Kama humfahamu Raila Odinga ni mchochezi wa kichinichini na kila akifika kwa wajaluo au huko Kisumu anawasha moto km vile Nchi ya Kenya hawezi kutawalika bila Mjaluo (Hivi ni lazima wajaluo watawale)
 
kweli nimeamini wewe ni ukwaju,asili ya ukwaju ni kuchachua hata mboga nzuri...unaposema mutunga aliona azuie fujo kenya unamaanisha nini? Do you mean that wafuasi wa uhuruto wasingekubali kwenda kwenye round ya pili...mr ukwaju,unaposema wajaluo hawataki au kukubali kutawaliwa,vipi kwa upande wa pili?je wakikuyu wao wako tayari kutawaliwa..?umejinadi unazijua siasa za kenya.haya rais wa kwanza mkikuyu,wa pili kalenjin,watatu kikuyu..angalia mabaraza ya mawaziri yaliyopita kabla katiba mpya aliyoipigania odinga tooth and nail mpaka ikapita.angalia kuanzi IGP,NISS,KDF nk wote kikuyu hapo pako sawa kweli...ukwaju unaposema odinga ni mchochezi na kuwashutumu wajaluo hapo unakuwa unakosea sana...laiti ungejua siasa za kenya zimebase kikabila zaidi..kumbuka kuwa odinga huyu huyu alishawai ku m endose kikuyu kuwa rais..vipi kikuyu are they ready to endose a luo?never in this planet..wanaogopa coz wamejaa damu za watu waliowauwa,mashamba walizopokonya..pia biashara haramu wanazozifanya kupitia taasisi nyeti za serikali ya mkikuyu mwenzio..ukwaju nimeishi kenya na kusoma huku chaguzi 3..i understand and knows kenyan politics.
 
Crucial Man

Bona una msimamo mkali hivi dhidi ya Wakikuyu? Walikufanya nini ulipoishi Kenya mwenzangu.

Ukisema wakikuyu wanaogopa mJaluo aongoze, na sababu za uoga huu ni
1. Wameua wajaluo
2.Wamepokonya Wajaluo Mashaba
3.Wanafanya biashara haramu kupitia taasis nyeti za serikali.

Natumai wewe ni mtu amekomaa na mwenye mawazo yake yanayoweza kuquestion propaganda.

Swali ni
1. Mkikuyu ameua wajaluo gani?
2.Ni shamba gani la mjaluo ambalo Mkikuyu amenyakua?
3.Ni biashara gani haramu ambazo Mkikuyu anafanya.
4.Wakikuyu walifanya biashara wakati wa Moi(Kalenjin) ama hawakufanya?.

Hizi zote zilikua mapropaganda za ODM kabla ya 2007 na ndizo zilifanya wakikuyu wakauawa PEV, zimerudiwa tena 2013, lakini mkikuyu alikua macho na maafa hayakutokea.

Mtu mkabila ni yule anaona kosa la mtu, anauliza huyo mtu ni wa kabila gani, kisha anahusisha kitendo cha huyo mtu na kabila lake.

Kama Kenyatta aliua mtu, ni yeye aliua ama ni kabila lake, Kama Moi aliua mtu, ni yeye aliua ama ni kabila lake liliua. Na kwa vile Raila alichochea Wakenya dhidi ya wa Kikuyu hadi wakauawa, sasa makosa yake tu yawekelee Wajaluo wote hata wale waliokoa. Hayo ni mawazo finyu bwana!
 
kiambu mafia,kwanza naomba nikusifu kwa jitihada zako za kujaribu kujibu hoja kwa ustaarabu japo kidogo..historia inajitosheleza unless you are in dark side of it..odinga snr alikuwa ndie awe rais,lakini aliwagomea wakoloni kwanza wamtoe kinyatta snr gerezani kwanza ndio wakenya wapate uhuru..mzee kinyatta alivyotoka jela akawageuka na kuanza kuwazawadia wakikuyu (mau mau fighters)wenzake nafasi nyeti na kuwasahau waliokuwa wakipigania uhuru wakiwa nje..odinga snr alivyo ona hivyo akalalamika,kenyatta akimtosa u vp..kumbuka ufunguzi wa new Rusia hospital kisumu..watu waliuwawa..mara kifo cha kipenzi cha waluo Tom mboya alieuwawa na hitman mkikuyu...moi alivyoingia madarakani aliside line luos kama haitoshi akamuuwa na kijana wao kipenzi Robert ouko...kibaki alipoingia madarakani pamoja na kusighn Mou na odinga lakini alikuja akaitupilia mbali na kuwapendelea wakikuyu wenzake,karume,michuki etc...mara akauwawa msomi wa kijaluo aliyekuwa anaongoza mchakato wa katiba odhiambo mbai...kumbuka biashara za bi mdogo wa kibaki drugs,arthur brothers..kenyatta family wanamiliki ardhi kubwa sana kuanzia mombasa hadi central juzi kawagawia walowezi baada ya kusemwa semwa..ugomvi btw kalenjins na kikuyu ni chuki ya siku nyingi kutokana na wakikuyu kumiliki ardhi yao siku nyingi...nakuomba upitie sticky threads kuna threads zinaonyesha uovu wa kikiyus,ni wakabila sana..kwa muda nilikaa kenya 15yrs on and off the country,nimejifunza mengi sana..wakenya ukabila umewagawa sana..leo saitoti anauwawa kisa icc na list ya ma drug barons..leo mutula amepewa sumu kisa icc na msimamo wake juu ya uhuruto.
 
I would like to know what friends you had in Kenya, from your perspective of Kenyas history and politics, I can bet most of them were Luos.

The average Luo is more social than the average Kikuyu. He is more open to casual friendship and like talking. On the other hand a Kikuyu will rarely make friendship for the sake of it even to fellow Kikuyus.

Ukiona Mkikuyu anafanya urafiki na wewe, ni juu ameona kuna jinsi ambavyo mnaweza saidiana nawe inabidi uwe mjanja na uwe chonjo juu ukilalia masikio, ole wako. Hivi wafanya hata wao kwa wao.

Jambo moja kubwa linaloleta tofautu hii kati ya Kikuyu na Wajaluo ni kua, Kikuyus largly depend on individual effort, while Luos work on collective/communal effort. This probably explains the ideological difference between Mzee Kenyatta(Babake Uhuru) and Mzee Jaramogi(Babake Raila).

A Kikuyu is trained from young age to be self sufficient and not dependent.

One other major diffence btn Kikuyus and Luos is that, while Kikuyus entertain self doubt and own up to his mistakes, a Luo is a self rightious man by his understanding who never make mistakes and when they happen it must be the other guy, and that guy the Luos have come to him as Kikuyus..

Due to the selfrightiousness of the Luos and self doubt of the Kikuyus, a Luo will exude more confidence than a Kikuyu anytime and will probably win in alll situations demanding only the mode of presentation and nothing more but where measurable results are at stake the Kikuyu will always have it. This explains why he almost always get what he wants, he wieghs all the variables and hence the doubt

Kwa swala la Jaramogi kumwachia Kenyatta, Mauaji huko New Rusia hospital Kisumu. Mwenye alikupea habari hii hakukupea ikiwa yote, alikueleza ile sehemu ambayo angependa ujue peke yake.

Mwanzo si kama vile Jaramogi alimwachia Kenyatta, Kenyatta tayari alikua Mashuhuri kwa Wakenya na walikua wakishinikiza aachiliwe. Wakati huo Jaramogi hakua na umaarufu zaidi ya kabila lak la Luo.

Mzungu alikua anataka kumpea mamlaka kwa vile alikua hawapei shida kama vile Kenyatta, walimuona kama mtu ambaye angefanya vile wange mwambia. Kenyatta kwa upande mwingine alikua kichwa ngumu.
Jaramogi hakua na lingine ila kukataa mwito huo kwani Wakenya walikua wameshatamtambua Kenyatta kama aliye pigania Uhuru(aliye ongoza). Jaramogi angekubali angeonekana kama msaliti na hangekubalika na Wakenya.

Yale mauaji ya watu Russia hOspital, mwenye kukueleza hakukuambia kua, Jaramogi alikua amewapanga hooligans ambao wlimshambulia Rais wa wakati huo na mawe. Ebu waza hivi, Rais Nyere atembelee sherehe fulani, halafu vija wamzunguke huku wamejihami na mawe wakitaka kumuua, askari wenye kumpe ulinzi watafanya nini? Makosa yalikua ya Jaramogi alitenda kitendo kisicho cha uelevu.

Maneno ya Kuuwa kwa Mboya Ouko na wengine ni porojo tu, sasa mboya(Luo) aliuawa na Kenyatta(Mkikuyu), naye Ouko(Luo) akauawa na Moi(Kalenjin), jiulize kwani ni Jaluo tu wanauawa. Shida ni kua Wajaluo wamejifunza kuelekeza kidole kwo lolote lifanyikalo hata bila ushahidi.

Saitoti alikufa, kidole kikaelekezwa kwa Mkikuyu, Mutula ame kufa na kama kawaida lazima kutafutwe ni Mkikuyu mgani anawaza kua ame fanya hivyo hata bila ushahidi.

Hizo sticky threads unaongea juu yake, nyingi zimeandikwa na propagandist wa Raila amboa wanaongozwa na chuki na Kijicho..

Ukukubaliana na lolote Mjaluo anakwambia kuhusu Mkikuyu utaishia kuamini Mkikuyu ni shetani na yeye Mjaluo Malaika.

Very sad!
 
Ukukubaliana na lolote Mjaluo anakwambia kuhusu Mkikuyu utaishia kuamini Mkikuyu ni shetani na yeye Mjaluo Malaika. Very sad!
Bora mumwambie huyu Crucial Man maana inaelekea ni Mjaluo na ni Kabila ambalo wanaona ni haki yao hata kwa vita nao wakatawala hiyo KENYA
Kenya ipo katika Amani na tunajua Ukabila hautaisha kwa nini wasitulie wakatawaliwa kwani hata katika Vitabu vya DINI kuna Koo na Kabila zenye weledi wa Kutawala wasilete vurugu
 
Last edited by a moderator:

Hiyo ni kweli Kaka Ukwaju.

Kusema ukweli, Mkikuyu hana shida kuongozwa na mtu kutoka kabila lolote, lakini mtu huyo asiwe ana chochewa na chuki dhidi yao, nakwambia kama Bwana Raila hangecheza siasa za chuki, angechaguliwa hata na Wakikuyu . Kinaya ni kua baadhi ya wafuasi alionao saa hii amewapata, kwa kwanza kuwambia wakikuyu ni wambaya kisha kuwambia ni yeye pekee anawaweza.
 
Last edited by a moderator:
Crucial Man

I would like to know what friends you had in Kenya, from your perspective of Kenyas history and politics, I can bet most of them were Luos.

The average Luo is more social than the average Kikuyu. He is more open to casual friendship and like talking. On the other hand a Kikuyu will rarely make friendship for the sake of it even to fellow Kikuyus.

Ukiona Mkikuyu anafanya urafiki na wewe, ni juu ameona kuna jinsi ambavyo mnaweza saidiana nawe inabidi uwe mjanja na uwe chonjo juu ukilalia masikio, ole wako. Hivi wafanya hata wao kwa wao.

Jambo moja kubwa linaloleta tofautu hii kati ya Kikuyu na Wajaluo ni kua, Kikuyus largly depend on individual effort, while Luos work on collective/communal effort. This probably explains the ideological difference between Mzee Kenyatta(Babake Uhuru) and Mzee Jaramogi(Babake Raila).

A Kikuyu is trained from young age to be self sufficient and not dependent.

One other major diffence btn Kikuyus and Luos is that, while Kikuyus entertain self doubt and own up to his mistakes, a Luo is a self rightious man by his understanding who never make mistakes and when they happen it must be the other guy, and that guy the Luos have come to him as Kikuyus..

Due to the selfrightiousness of the Luos and self doubt of the Kikuyus, a Luo will exude more confidence than a Kikuyu anytime and will probably win in alll situations demanding only the mode of presentation and nothing more but where measurable results are at stake the Kikuyu will always have it. This explains why he almost always get what he wants, he wieghs all the variables and hence the doubt

Kwa swala la Jaramogi kumwachia Kenyatta, Mauaji huko New Rusia hospital Kisumu. Mwenye alikupea habari hii hakukupea ikiwa yote, alikueleza ile sehemu ambayo angependa ujue peke yake.

Mwanzo si kama vile Jaramogi alimwachia Kenyatta, Kenyatta tayari alikua Mashuhuri kwa Wakenya na walikua wakishinikiza aachiliwe. Wakati huo Jaramogi hakua na umaarufu zaidi ya kabila lak la Luo.

Mzungu alikua anataka kumpea mamlaka kwa vile alikua hawapei shida kama vile Kenyatta, walimuona kama mtu ambaye angefanya vile wange mwambia. Kenyatta kwa upande mwingine alikua kichwa ngumu.
Jaramogi hakua na lingine ila kukataa mwito huo kwani Wakenya walikua wameshatamtambua Kenyatta kama aliye pigania Uhuru(aliye ongoza). Jaramogi angekubali angeonekana kama msaliti na hangekubalika na Wakenya.

Yale mauaji ya watu Russia hOspital, mwenye kukueleza hakukuambia kua, Jaramogi alikua amewapanga hooligans ambao wlimshambulia Rais wa wakati huo na mawe. Ebu waza hivi, Rais Nyere atembelee sherehe fulani, halafu vija wamzunguke huku wamejihami na mawe wakitaka kumuua, askari wenye kumpe ulinzi watafanya nini? Makosa yalikua ya Jaramogi alitenda kitendo kisicho cha uelevu.

Maneno ya Kuuwa kwa Mboya Ouko na wengine ni porojo tu, sasa mboya(Luo) aliuawa na Kenyatta(Mkikuyu), naye Ouko(Luo) akauawa na Moi(Kalenjin), jiulize kwani ni Jaluo tu wanauawa. Shida ni kua Wajaluo wamejifunza kuelekeza kidole kwo lolote lifanyikalo hata bila ushahidi.

Saitoti alikufa, kidole kikaelekezwa kwa Mkikuyu, Mutula ame kufa na kama kawaida lazima kutafutwe ni Mkikuyu mgani anawaza kua ame fanya hivyo hata bila ushahidi.

Hizo sticky threads unaongea juu yake, nyingi zimeandikwa na propagandist wa Raila amboa wanaongozwa na chuki na Kijicho..

Ukukubaliana na lolote Mjaluo anakwambia kuhusu Mkikuyu utaishia kuamini Mkikuyu ni shetani na yeye Mjaluo Malaika.

Very sad!

kiambu mafia,unajitaidi kukwepa ukweli lakini ukweli utabaki pale pale,nakubaliana na wewe kwamba kikuyus ni mabepari walio walijengewa mfumo wa ujamaa,hii ni kutokana na ukaribu wa jaramogi na warusi..unaposema mzee jomo alikuwa maarufu zaidi ya jaramogi sio kweli..kumbuka mkutano wa lancaster house,vugu vugu la uhuru uliendeshwa na wakina jj kariuki,jaramogi..alichofanya kenyata ni kuwasaliti wapiganiaji wa uhuru wenzake na kuwareward wakikuyu wenzake...kumbuka hata moi hawakutaka achukue nchi kiambu mafias walifanya kila kitu,wakampa nchi ila wakawa wanamcontrol..mauaji yametokea mengi tu.kuna wakina bishop muge,father kizito nk..mimi nijuavyo luos wanaonekana kama vile ni threat kwa watawala wa kikuyu na kalenjin..sisi huku mwalimu nyerere hakuwageuka wapigania uhuru wenzake,hata kama hana shule mfano mzee kawawa...kubali ukatae kenya inatafunwa na virusi vya ukabila..ukiangali heads of parasetals hadi wazara nyeti wote ni kikuyu kama sio kalenjins..kabla ya utaratibu wa vetting rais kibaki aliwateua wakikuyu wenzake kwenye sekta nyeti zote.sisi huku tz hakuna ukabila we share the national cake in terms of gov appointments..hilo ni zawadi kubwa alilotuachia mzee nyerere..wala uwezi sikia watu wa jamii fulani wanalalama eti hatujatendewa haki..kinachotokea kenya kwenu ni ukabila ulio asisiwa na kenyatta.
 
Haha!

Nina swali moja kaka, ni sababu gani basi lilimfanya Jaramogi 'kumwachia' Kenyatta, na Kenyatta peke yake?

Imekua tabia ya dugu zetu Waluo kutotosheka na lolote, wao kila wakati huwa wanaangalia kenye Mkikuyu akonacho.

Baada ya 2007 PEV Bwana Kofi Ann na lile jopo lake, waliongoza yale mazungumzo kati ya Kibaki na Raila, muda wote huo wa majadiliano, Raila alikua anazusha kuwa Kibaki anachukua Wizara nyeti huku akimwachia Raila zile ovyo. Alizozungumzia sana ni ile ya finance na ile ya defence.

Baada ya muungano wa Jubilee kuundwa wengi wa wafuasi wa Raila walikua wakidai kua Mkikuyu hawazi kubalisha Ruto kuchukua Wizara hizo 'nyeti,. Lengo lilikua kuwaambia wakalenjini wasimpigie Uhuru kura.

Sas hivi Uhuru amempea Ruto Wizara ya fedha, na ile ya defence amempea Mjaluo Omamo licha yakua Omamo ni wa ODM.

Saa hii mkikuyu amechukua ile ya Health, itaanza kua 'nyeti' na zile zingine zita didimia machoni mwa hawa wanaRaila ikiwemo ile ya Fedha na ya defence.

Chochote akiguzacho Mkikuyu hugeuka dhahabu kulingana na hawa watu.

Katika serikali ya Mseto Kila mmoja wa Raila na Kibaki alikua na Wizara 20, na Kibaki hakua na uwezo wa kuchagua yeyote atakaye.

Tanzania ni kielelezo kizuri cha umoja baina ya makabila katika East Afrika
 
Bora mumwambie huyu Crucial Man maana inaelekea ni Mjaluo na ni Kabila ambalo wanaona ni haki yao hata kwa vita nao wakatawala hiyo KENYA
Kenya ipo katika Amani na tunajua Ukabila hautaisha kwa nini wasitulie wakatawaliwa kwani hata katika Vitabu vya DINI kuna Koo na Kabila zenye weledi wa Kutawala wasilete vurugu

ukwaju inaonekana wewe ni mwepesi sana kwenye siasa za kimataifa...comments zako ni za kukurupuka na zimejaa chuki kwa wajaluo..hapa tunajadiliana kwa facts sio siasa nyepesi nyepesi kama comments zako zisizokuwa na mashiko zinavyoashiria..nakushauri ukae pembeni utuache tujadiliane na bwana kimbu mafia..nimegundua unatawaliwa na zile siasa za ccm na chadema..huu ni uwanja wa hoja kwa hojo fuatilia uzi then ujipime kama unafit kuchangia au uendelee kujifunza...hapa hatuongelei wajaluo wala odinga.tunapashana yote yaliyotokea na yanaendelea kutokea..nikukumbushe wajaluo wametapakaa afrika mashariki na kati.mimi ni mtanzania niliyebaatika kusoma kenya naijua kenye kiasi chaguzi 3 zimenikuta kenya..nafanya kazi na wakenya hapa Tz,nina marafiki kenya na hata kwenye uchaguzi nilikuepo kenya kama muangalizi wa shirika moja lisilokuwa la kiserikali..nilikuwa based sehemu panaitwa webuye,so nikisemacho hapa ni vitu ambavyo nimevishuhudia.
 
Last edited by a moderator:
Cj,kumwaga machozi mtandaoni! What a shame! Hapa kutakuwa na kitu..au walimtishia mongiki? Kinachoniuma ni kwamba katuharibia historia Africa..maamuzi yake yeye na wenzake yatatumika kuwanyima haki raia wa mataifa mengine..hivi huyu bwana cj ana familia kweli? Naombeni mnijulishe.
kwani lazima u comment? Hapa tunamjadili mutunga sio Raila ndugu.

ukwaju inaonekana wewe ni mwepesi sana kwenye siasa za kimataifa...comments zako ni za kukurupuka na zimejaa chuki kwa wajaluo..hapa tunajadiliana kwa facts sio siasa nyepesi nyepesi kama comments zako zisizokuwa na mashiko zinavyoashiria..nakushauri ukae pembeni utuache tujadiliane na bwana kimbu mafia..nimegundua unatawaliwa na zile siasa za ccm na chadema..huu ni uwanja wa hoja kwa hojo fuatilia uzi then ujipime kama unafit kuchangia au uendelee kujifunza...hapa hatuongelei wajaluo wala odinga.tunapashana yote yaliyotokea na yanaendelea kutokea..nikukumbushe wajaluo wametapakaa afrika mashariki na kati.mimi ni mtanzania niliyebaatika kusoma kenya naijua kenye kiasi chaguzi 3 zimenikuta kenya..nafanya kazi na wakenya hapa Tz,nina marafiki kenya na hata kwenye uchaguzi nilikuepo kenya kama muangalizi wa shirika moja lisilokuwa la kiserikali..nilikuwa based sehemu panaitwa webuye,so nikisemacho hapa ni vitu ambavyo nimevishuhudia.
Crucial Man inaonekana umejaa chuki na ubinafsi na unataka uchangie na ushinde wewe mwenyewe
Mimi Kabila langu ni Mtaita na wametapakaa hapa Tanzania, fuatilia Mji unaoitwa Rombo upo wapi baada ya kuvuka Tarakea tulitenganishwa baada ya Mlima Kilimanjaro kupewa zawadi ya Birthday kwa kubadilishana na bandari ya Mombasa. Kusoma kwako hakukutofautishui na kauli zako za Kijaluo ambao wapo hata huko Mara na wala sikushangaa Rais wa USA aliposikitika Odinga kukosa Urais
Ni nani unayeona anafiti kuchangia wakati ulishawaponda kwa kutanguliza ukabila?
wewe kweli ni kiambu,sasa hapa umeandika nini?si bora ungeandika kikikuyu.
Kwetu sisi Mjaluo hana weledi wa kutawala labda karne ingine watulie tu sasa
Si lazima unijibu km unaona siFIT wako wenzako wanaonipongeza na kunipa 'Like' kwa kuwakataa hao jamaa zako
 
Last edited by a moderator:
ndio ieleweke vile afisi ya CJ ina nguvu Kulikuwa na wakati mutunga aliambia serikali ya coalition kibaki-raila wasithubutu kuidharau ofisi ya mahakama ikiwa watafikia ruwaza2030, na odinga amepuuza ilani hio. Hata hiyo parliamentary system anayosifu haimsadi kamwe maana ataitaji executive kuweka saini ammendments na miswada mbali mbali. kwa hivyo yote ya parliamentary system ni kelele.
 
Kuna wengi waliuwawa msimu wa kenyatta. usisahau hata JM kariuki wakati huo. lakini mjaluo akizidi kusema ouko, tom mboya, masinde na wngine, jiulize inafaidi nini wakenya hadi lini wakenya watataka watasikia watu waliuwawa. wacha tu watasema sana mpaka raila atakapofade kijijini mwake ndio watagundia vitu vimebadilika. hakuna kupendua kauli ya wakenya katika uchaguzi march 2013 kamwe. kwa sasa wach afurahie safari za nje ya bara africa na pesa za vijana, ila hakuna anayemuuliza.
 
kwa hiyo kuuwana kwenu ni jambo la kawaida tu ili mradi siku zinasogea? Je siku wakimuuwa babako,mjomba,kaka,dada utasemaje? Alafu kwa taarifa yako,umejaa chuki na wivu kwa odinga..kwanza hawezi fade unavyo ombea..jamaa is a tycoon hata wewe watambua unaweza lishwa pamoja na ukoo wenu wote,so umchukie,umpende wewe na roho yako ya kunguni...mi nambenda kwa sababu kaifikisha kenya hapo ilipo kutoka mikononi wa wanyanganyi na wauaji..kweli wahenga walisema Nabii hakubaliki kwao.
 
Ninachosema ni wacha kenya ipige hatua, nadhani raila amepata malipo yake, vifo vya tom mboya ouko, JMK, imelipizwa na wakenya zaidi ya elfu kufariki wakati wa ghasia za uchaguzi 2007/08. hivyo change topic hivi sasa hayuko katik uongozi wowote.
 
Back
Top Bottom