Mkuu hili swali umeuliza kama mtego au?? Anyway
Kitaalamu shati za draft hazivaliwi na tai na hizi shati zinavaliwa na jeans au kadet. Ukivaa shat draft then ukavaa tai swali ni utakuwa umeavaa mtindo gani? Formal au Casual au Business Casual? Jibu ni hujavaa chochote kati ya hizo style tatu
Tai inaitaji plain shirt then zitatofautisha tai kulingana na rangi za hizo shati zako unaweza vaa tai yeny mistari, iliyo plain au yenye madoa doa ila hii itabebwa na rangi ya shati yenyewe na mtindo ambao unaeleza mahali ulipo/unapokwenda.
Pia dhana ya rangi ya mkanda na kiatu ni kwa gentlemen style tu classic huwa baadhi hawana muda na hii dhana. Sababu classic wanabadilika sana tofauti na gentlemen wao wameweka sheria zao hazibadiliki very conservative.
Chopstick from Hong Kong