Classic men dressing part 2

Classic men dressing part 2

Nimekuelewa sana mkuu
Shida kubwa ya men wengi ni kuvaa bila kuzingatia dress code
Mfano unavaa mkanda ambao haufanani na rangi ya kiatu

Au unavaa suruali ya kitambaa na tishet
Au unavaa minguo over size

Na kingine vitambi huwa vinatuharibia sana muonekano
 
Hapo kitaalam inatakiwa tai ya rangi gani

Mkuu hili swali umeuliza kama mtego au?? Anyway

Kitaalamu shati za draft hazivaliwi na tai na hizi shati zinavaliwa na jeans au kadet. Ukivaa shat draft then ukavaa tai swali ni utakuwa umeavaa mtindo gani? Formal au Casual au Business Casual? Jibu ni hujavaa chochote kati ya hizo style tatu

Tai inaitaji plain shirt then zitatofautisha tai kulingana na rangi za hizo shati zako unaweza vaa tai yeny mistari, iliyo plain au yenye madoa doa ila hii itabebwa na rangi ya shati yenyewe na mtindo ambao unaeleza mahali ulipo/unapokwenda.

Pia dhana ya rangi ya mkanda na kiatu ni kwa gentlemen style tu classic huwa baadhi hawana muda na hii dhana. Sababu classic wanabadilika sana tofauti na gentlemen wao wameweka sheria zao hazibadiliki very conservative.

Chopstick from Hong Kong
 
Hamna mkuu
Sijui chochote kuhusiana na dressing code ila huwa napenda kuzijua ili inisaidie ktk uvaaji kwenye matukio mbali mbali
 
Poa mkuu, google hii site itakupa mwanga sana mkuu RealMenRealStyle huyu jamaa anaitwa Antonio alikua Marine USA ana vitu vingi sana huta jutia mkuu.

Chopstick from Hong Kong
 
Back
Top Bottom