Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo kitaalam inatakiwa tai ya rangi gani
Hamna mkuuMkuu hili swali umeuliza kama mtego au?? Anyway
Kitaalamu shati za draft hazivaliwi na tai na hizi shati zinavaliwa na jeans au kadet. Ukivaa shat draft then ukavaa tai swali ni utakuwa umeavaa mtindo gani? Formal au Casual au Business Casual? Jibu ni hujavaa chochote kati ya hizo style tatu
Tai inaitaji plain shirt then zitatofautisha tai kulingana na rangi za hizo shati zako unaweza vaa tai yeny mistari, iliyo plain au yenye madoa doa ila hii itabebwa na rangi ya shati yenyewe na mtindo ambao unaeleza mahali ulipo/unapokwenda.
Pia dhana ya rangi ya mkanda na kiatu ni kwa gentlemen style tu classic huwa baadhi hawana muda na hii dhana. Sababu classic wanabadilika sana tofauti na gentlemen wao wameweka sheria zao hazibadiliki very conservative.
Chopstick from Hong Kong
hizo zinaitwa "wanchoma kumoyo"!
Hamna mkuu
Sijui chochote kuhusiana na dressing code ila huwa napenda kuzijua ili inisaidie ktk uvaaji kwenye matukio mbali mbali
Shukran sana mkuuPoa mkuu, google hii site itakupa mwanga sana mkuu RealMenRealStyle huyu jamaa anaitwa Antonio alikua Marine USA ana vitu vingi sana huta jutia mkuu
Chopstick from Hong Kong