Soka Ndio Maisha Yangu
Member
- Nov 27, 2024
- 43
- 127
Jana watu wanapiga kelele mitaani ingiza Chama, ingiza Chama, akaingizwa kweli bana, kwa kweli jamaa amepoteza kabisa heshima yake, jina lake lilikuwa kubwa sana hapa nchini, kila mtu alimuimba, Yanga walimuimba Simba ndio usiseme, leo Chama wa kuingia kipindi cha 2 kweli? Yaan Hana uhakika wa kuanza pale Yanga, jana pale Algeria alikuwa anacheza rafu tu, sio kawaida yake kucheza rafu lkn mjerumani ndio kamfundisha unadhan atafanyaje
Naishauri Simba ikae nae imrudishe tu akamalizie soka lake
Naishauri Simba ikae nae imrudishe tu akamalizie soka lake