Gatabhanya
JF-Expert Member
- Nov 16, 2024
- 2,644
- 5,178
Wenzako wanatafuta hela we uko bize na heshima
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata chai umekunywa kweli mzee?Jana watu wanapiga kelele mitaani ingiza Chama, ingiza Chama, akaingizwa kweli bana, kwa kweli jamaa amepoteza kabisa heshima yake, jina lake lilikuwa kubwa sana hapa nchini, kila mtu alimuimba, Yanga walimuimba Simba ndio usiseme, leo Chama wa kuingia kipindi cha 2 kweli? Yaan Hana uhakika wa kuanza pale Yanga, jana pale Algeria alikuwa anacheza rafu tu, sio kawaida yake kucheza rafu lkn mjerumani ndio kamfundisha unadhan atafanyaje
Naishauri Simba ikae nae imrudishe tu akamalizie soka lake