Soka Ndio Maisha Yangu
Member
- Nov 27, 2024
- 43
- 127
Hua anacheza vizuri akiwa na pamba jiji,muarabu alikua anapress muda wote ndio ssbb walifungwa,ukiwapa utulivu yanga wanakufunga ila pira lakukimbizwa muda wote hawauweziJana pacome akucheza,angeibeba yanga.
Exctly,Hua anacheza vizuri akiwa na pamba jiji,muarabu alikua anapress muda wote ndio ssbb walifungwa,ukiwapa utulivu yanga wanakufunga ila pira lakukimbizwa muda wote hawauwezi
Isemee yanga yako mkuu, aibu yenu!! Jana Pacome na Dube wangecheza mngepata ushindiTimu za Tanzania Ni mdomo tu Uwanjani Ni ZERO
Ukweli hata Simba leo Naiona Aibu kabisa
HeeeeeeeAlifata ndoto zake
View attachment 3171975
Kibabu kinacheza rafu kileJana nasikia mtangazaji akiimuita Mwamba wa Lusaka, mwamba gani anasinzia uwanjani