Clatous Chota Chama amejivunjia sana heshima kwenda Yanga, Hana mchango wowote ule

Hata chai umekunywa kweli mzee?
 
Chama hawezi kuitumikia yanga zaidi ya misimu miwili lakini atapata ufalme Kama alioupata Simba. Aliangalia pesa Ila heshima yake baada ya mpira haitakuwepo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…