MR.NOMA
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 339
- 505
Kijana huyu mwenye amri mdogo ana akili iliyotulia kinoma, miaka ya hivi karibuni alifanya kazi katika Shirika la Twaweza akiwa kama Assistant data analyst alibahatika mwaka jana Mwanzoni kupata ajira nyingine huko ughaibuni - barani ulaya katika shirika kubwa la masuala ya utafiti ambapo ameitumikia kwa takribani mwaka 1.
Na sasa miezi kadhaa iliyopita alifanya mtihani mgumu wa hesabu kujiunga na Chuo kikuu cha havard huko USA na alifauli kwa kupata asilimia 99 ya alama za mtihani huo. Serikali yetu inatakiwa kuwashika mkono vijana wa namna hii kwa kuwa ni hadhina nzuri kwa taifa.
Kijana amesoma shule ya kata hajawahi kusoma ulaya ila kwa elimu yake aliyopata Tz anaitisha dunia na kuwazidi wazungu akili.
All the best Claudio Mlamka.