Claudio-Kijana wa Kitanzania aliyepasua 99% mtihani wa Hesabu Havard

Serikali yetu hainaga mpango na watu wa hivi.. !! Wewe angalia wale wa TANZANIA ONE waliko sasa
 
Chai
 
kuna chalii alikuwa anaitwa Claudio msengezi, Milambo EGM dogo alikuwa hana makuu ila NECTA akapiga banda akawaacha wakali kama Chris Mzungu, Esau, na vichwa fulani hivi kule PCM
Huyu dogo Yuko wapi,,,, nilipata taarifa zake toka kitambo na ni MTU wa Sumbawanga.

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Kufaulu Sana sio Sawa na kuwa creative....
Watu creative sometimes hawafaulu sana
 
Kufaul kwa ngazi ya juu sio kwamba una akili. Ila ni proof kuwa una bright memory..ubongo una perform vizur katika kuhifadh na ku retrieve. Akil ni uwezo wa kugeuza hayo uliohifadh kuyafanyia gunduzi mbali mbali. Na hapa ndio wazungu kuwakuta sio leo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…