adriz
JF-Expert Member
- Sep 2, 2017
- 12,207
- 26,521
Hapa nakuunga mkono Dr
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa nakuunga mkono Dr
Chama overrated sana, hapo Morroco palimshinda.Huyu jamaa vipi. Si tulishakubaliana Chama ni GoAT
Ukoo wote wa akina Moshi walikuwa na kipaji sana.nakumbuka nyakati zile 2007 nadhani.. tunajazana uwanja karume kuangalia mazoezi ya timu ya taifa ya marcio maximo kucheki mavitu ya boban,..k$$$mk acheni utani jmni yule kiumbe alikua bongo bahati mbaya sana.
Chama kwa ubora wake wote hajawahi kufanya majalibio hata South hapo, ila Boban alishacheza SwedenAnaongoza kwa assist NBCPL