Clautus Chama ondoka sasa, Robartihno hakutaki

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
13,778
Reaction score
14,214
Mfumo wa kocha Robertihno ni wa kasi ya ku press bila kupoza mpira, hapendi namna chama anavyocheza, ni bora Chama akaondoka sasa kuliko kusubiri fedheha. Utanikumbuka!!!!
 
hawa jamaa ni zaidi ya wagonjwa wa akili, badala ya kutoa ushauri kwenye timu Yao wameng'ang'ania Simba
Unadhani Chama hana akili? Chama alikuwa anapangwa kwaajili ya Mgunda, uongozi na mashabiki baaasi, vinginevyo kocha Robatihno alishambwaga. Ndio maana Robertihno hamtaki Mgunda tena na amesajili wachezaji wanaoendandana na aina ya futiboli yake. Chama Chama Chama mwanangu, akumulikae mchana usiku atakuunguza.
 
sasa wewe ndio Mgunda?
 
Mfumo wa kocha Robertihno ni wa kasi ya ku press bila kupoza mpira, hapendi namna chama anavyocheza, ni bora Chama akaondoka sasa kuliko kusubiri fedheha. Utanikumbuka!!!!
Wazee wa mizoga mnajiokotea malonyalonya yaliyofutwa kodi,huyu naye subirini hadi Simba wakimchoka mjiokotee tu.
 
Mi nashangaa kusikia eti simba wanataka wamuongeze mshahara wakat ni mchezaji wa kawaida
 
πŸ‘πŸΏ
 
Attachments

  • ABDB695B-0791-4870-A19C-F9CDF05210D1.jpeg
    1.4 MB · Views: 2
Mfumo wa kocha Robertihno ni wa kasi ya ku press bila kupoza mpira, hapendi namna chama anavyocheza, ni bora Chama akaondoka sasa kuliko kusubiri fedheha. Utanikumbuka!!!!
🐸🐸🐸 katika ubora wako πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…