Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hawa jamaa ni zaidi ya wagonjwa wa akili, badala ya kutoa ushauri kwenye timu Yao wameng'ang'ania SimbaUshauri huu unatoka kwa shabiki wa nyani fc gigy money fc aisee kweli
Wenye akili huko
Kwenu ni wawili tu
Unadhani Chama hana akili? Chama alikuwa anapangwa kwaajili ya Mgunda, uongozi na mashabiki baaasi, vinginevyo kocha Robatihno alishambwaga. Ndio maana Robertihno hamtaki Mgunda tena na amesajili wachezaji wanaoendandana na aina ya futiboli yake. Chama Chama Chama mwanangu, akumulikae mchana usiku atakuunguza.hawa jamaa ni zaidi ya wagonjwa wa akili, badala ya kutoa ushauri kwenye timu Yao wameng'ang'ania Simba
sasa wewe ndio Mgunda?Unadhani Chama hana akili? Chama alikuwa anapangwa kwaajili ya Mgunda, uongozi na mashabiki baaasi, vinginevyo kocha Robatihno alishambwaga. Ndio maana Robertihno hamtaki Mgunda tena na amesajili wachezaji wanaoendandana na aina ya futiboli yake. Chama Chama Chama mwanangu, akumulikae mchana usiku atakuunguza.
Wazee wa mizoga mnajiokotea malonyalonya yaliyofutwa kodi,huyu naye subirini hadi Simba wakimchoka mjiokotee tu.Mfumo wa kocha Robertihno ni wa kasi ya ku press bila kupoza mpira, hapendi namna chama anavyocheza, ni bora Chama akaondoka sasa kuliko kusubiri fedheha. Utanikumbuka!!!!
Chama anawasumbua sana akili zenu ukifikiria wenye akili ni wawili tu huko kwenukunywa mtori kwanza
Ushauri huu unatoka kwa shabiki wa nyani fc gigy money fc aisee kweli
Wenye akili huko
Kwenu ni wawili tu
Mbumbumbu FC mmesahau jinsi mlivyokuwa mnashauri wakati wa msala wa Fei Toto. Kweli Ngada FC mna shida kubwahawa jamaa ni zaidi ya wagonjwa wa akili, badala ya kutoa ushauri kwenye timu Yao wameng'ang'ania Simba
🐸🐸🐸 katika ubora wako 😂😂😂Mfumo wa kocha Robertihno ni wa kasi ya ku press bila kupoza mpira, hapendi namna chama anavyocheza, ni bora Chama akaondoka sasa kuliko kusubiri fedheha. Utanikumbuka!!!!