GE2025 Clayton Chipando (Baba Levo) ateuliwa kugombea ubunge jimbo la Kigoma Mjini kupitia CCM

GE2025 Clayton Chipando (Baba Levo) ateuliwa kugombea ubunge jimbo la Kigoma Mjini kupitia CCM

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Sina mengi ya kusema. Nikutakie kila la kheri kwenye kazi ya kutunga sheria na kuisimamia serikali ili Wananchi wa Kigoma mjini wapate maendeleo.

Na ikimpendeza Rais basi akupe kabisa Wizara ya Michezo na Utamaduni.

Kila la kheri Chiponda
 
Mboga mboga wamedharau sana watu wa kigoma au kwakua wengi wao kule ni warundi ndio maana wameamua kuwasukumia huyo mpumbavu na kituko cha taifa💩💩
 
Zitto Kabwe ubunge bye bye
Zitto hana cha kupoteza atakula za project ya wapinzani wa kupotezea maboya project ya CCM B na C. Yaani ACT na CHAUMA wazee wa ubwabwa kifupi wanachama wa ACT ni shabiki wa kuwa mabwabwa.
 
Back
Top Bottom