GE2025 Clayton Chipando (Baba Levo) ateuliwa kugombea ubunge jimbo la Kigoma Mjini kupitia CCM

GE2025 Clayton Chipando (Baba Levo) ateuliwa kugombea ubunge jimbo la Kigoma Mjini kupitia CCM

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Na nyie makada wa hapa jf mnafeli wapi Kula hii keki ya nchi msirizike na buku7 Kwa siku
 
Mboga mboga wamedharau sana watu wa kigoma au kwakua wengi wao kule ni warundi ndio maana wameamua kuwasukumia huyo mpumbavu na kituko cha taifa💩💩
Ujinga wa waTanzania ni kuangalia maisha ya mtu mmojammoja na mapungufu yake ila hawaangalii mapungufu ya kitaifa kuwa waliosoma ndiyo washenzi na wapumbavu kuliko Babalevo.

Acheni jamii iamue!!
 
Hili ni miongoni mwa Majimbo ambayo wapinzani feki watapewa, ndio maana kawekwa huyu aliyefanya fujo siku ya kura za maoni ili iwe Rahisi kumpa Zitto
Mwaka huu wapinzani halisi mmewaachia wapinzani feki wapewe. Huo ni usaliti.
 
Nikupe ushahidi wewe kama nani?
Siwajibiki kwako, ukiona nilicho andika siyo sahihi wewe lete ushahidi kukanusha.
Au nenda mahakamani kukanusha Mimi nitaenda kuwapa maelezo ya aliyekuwa karibu wa uenezi,mafunzo na itikadi wa CCM.
Hacha kuishi kwa taarifa za hearsay mjinga wewe!!
 
Ila CCM inajuwa sana kufedhehesha taifa hili!
Hebu cheki huu muhimili na hii combination ya strike force ya wananchi katika kuwatetea!
Umepewa wachezaji hawa unaambiwa wapangie list wewe!
Kuna Profesa Kabudi, Babu Tale, Kibajaji, Dr Kimei, Musukuma, Babalevo, Prof Mkenda, Kitila, Jah People, Biteko nk kisha ndio uunde timu yako!
Utapata wazimu bure
 
Kawekewa mpinzani dhaifu ili atoboe kuingia mjengoni.
Baba levo ni mpinzani dhaifu kigoma,
Unajua unachokiongea chief,
Uyo jamaa alotoka hapo wa ccm ndo mpinzani dhaifu na alipita Kwa nguvu za jiwe 2020 wala hakumshinda zzk,
Act walifurahi sana waliporudishiwa yule jamaa maana kazi ilikua ndogo sana,
Hii ngoma ishakua nzito Kwa Act.
 
Nchi hii ilipofika hakuna tena mwenyewe. Na ndio hasara za uswahili..
 
Nawasikitikia wazazi ambao bado wanaa amini kwenye elimu Tanzania hii bado kidogo tu tutampata rais asie jua hata kuandika jina lake, one love baba levo umewaheshimisha ma iliteracy mtoto wa lukuga


Fullstop, kwishaaaa
Tunajua nchi hii ni it's not what you know...it's who you know.
Ila kama wtt wetu hawana connection wacha tu waendelee kusoma...nchi inahitaji wasomi pia
 
Back
Top Bottom