HAKI KWA WOTE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 2,783
- 2,396
Ulitaka akae nani huko kwenye huo muhimili wako?je kwanini hukugombea wewe badala ya Babalevo?Niwe na wivu kisa huyo!?😂😂😂😂.
Broo embu jishikilie basi.
Ukweli lazima usemwe,huyo jamaa hana any quality of a good leader.
Hana silka wala vigezo vya kiongozi stahiki.
Matokeo yake ndio kama yale ya Babu Tale kisa umaarufu kagombea Ubunge Morogoro vijijini kapata ubunge ila hakuna kitu hata kimoja alichokifanya.
Hata kutoa mchango wa kimawazo bungeni hakuna hata siku moja alitoa.
Come on broo embu wacheni kuwa wajinga hivi!
Yani huyu ndio wa kukaa katika muhimili moja wapo wa serikali kuu na awe miongoni mwa watunga sheria kweli!??
Embu waza kwa kutumia kichwa sio hisia zako hizo za kijinga jinga.
Mwana FA aligombea ubunge akashinda,Muheza ameifanyia nini!??
Mabunge yaliyopita hayakuwa na hao mabwana zako wasomi yalifanya nini cha maana zaidi ya kuuza wanyama,escrow,twintower,bot scandal,nk.?
Acha kuishi kijinga siku zote kwa kigezo cha wasomi,shit!