Kijukuu cha ngoyayi
JF-Expert Member
- Oct 27, 2018
- 3,358
- 6,667
Hasara kubwa ni kuwa na wabunge kama bab levo,tale tale ,msukuma nk
Huyo ni mdada mkuu.Unajua kipi zaidi ya siasa za chuki?
B levo Baaaaa Fundi majumba ennheeehheehehee
Hongera Sana mkuu hapo ubunge Tayari huku kwingine hata usipopigiwa Kura na mtu wewe tayari ushaula.
Na lile ghorofa ñaona sasa linakwenda kumalizika Kwa kasi sanaa
Nakubaliana na wewe, kuna watu wenye ubongo wa kuku ambao hawajui Baba Levo ni kinyago kilichochongwa na Zitto Kabwe kinaweza vipi mumpitisha mchongaji?
Ni sawa leo Abdul Nondo amtishe Zitto Kabwe itakuwa maajabu.
Ni rasmi Zitto Kabwe ndio mbunge wa Kigoma mjini, Ccm imeheshimu makunaliano ya kutakatisha uchaguzi haram.
Baba levo ni mpinzani dhaifu kigoma,
Unajua unachokiongea chief,
Uyo jamaa alotoka hapo wa ccm ndo mpinzani dhaifu na alipita Kwa nguvu za jiwe 2020 wala hakumshinda zzk,
Act walifurahi sana waliporudishiwa yule jamaa maana kazi ilikua ndogo sana,
Hii ngoma ishakua nzito Kwa Act.
🤣🤣🤣Najua kweli
🤣🤣🤣🙌🙌🙌Wewe jamaa mbona unajionaga mjuaji sana?
Sawaamka kijana utajikojolea
Sio kweli. Hakuna aliyemchoka Zitto.Mie sio fan wa jamaa,but kama hakuna interference yoyote Baba levo anamshinda zitto mapema sana.
Zitto alisha chuja na watu wamisha mchoka.
Haswaaa wasomi wanaitajika kweli hujaielewa nacho Manisha, ni kuamini usomi utakupa kila uncho taka kama tunavo amini, elimu pekee haitoshi kufanya mtu awe selected sio tz tu hadi nje huko, raisi wa Ukraine muigizaji mchekeshaji ila kaaminiwa, unaijua elimu ya baba levo?
Fullstop,kwishaaa
Hii nchi watu tunafanywa wajinga sana. Eti naye huyu mpuuzi anaenda kugombea Ubunge!
Atasema nini huko bungeni na ata implicate nini!?
Nchi ishakua ya kipuuzi puuzi.
Niwe na wivu kisa huyo!?😂😂😂😂.kuna kosa gani yeye kuamua kugomebea ubunge mkuu? mbona mnakuwa na wivu kiasi hicho, mambo mengine noma bana
Wengine waliotangulia kwanini hawakulijenga kwa hizo pesa za halmashauri?unaongea kama punga bwana tumia ubongo siyo makamasi kufikiriHalmashauri au wewe unaona anazo pesa za kujenga soko?
Zitto Kabwe ametengewa jimbo hiloMsaanii wa muziki nchini Clayton Revocatus Chipando maarufu kama Baba Levo ameteuliwa kugombea ubunge jimbo la Kigoma Mjini kupitia CCM kuelekea uchaguzi mkuu 2025
View attachment 3450429
Ukome,shit!!haya
Hii nchi imeoza kaka.Siku akienda bungeni atakuwa anavua shati alafu anaenda kugonganisha matumbo na spika....wanapeleka vichaa bungeni na Wana uhakika wa kuiba kura kwa kishindo