Clearing and forwarding (logistics)

Clearing and forwarding (logistics)

Joined
May 21, 2020
Posts
10
Reaction score
4
DN holdings company limited ni logistics company inahusika sana na kutoa shehena za mizigo mbalimbali bandarini kama mawakala wa forodha(clearing and forwading)

Dn holdings company limited tunapatikana nkrumaha street p.O.Box 6924 dar es salaam na kamata stesheni ya train. Kwa mawasiliano tupigie au whatsapp no:+255759040449/0683354565 au barua pepe: info@dnh.Co.Tz

Huduma tunazotoa

Clearing of vehicle,container na loose cargo kwa bandari zote Tanzania na airport

Handling and delivery: ukifanya kazi na DN holdings pia kuna huduma ya kukufikishia mzigo wako kwa gharama nafuu hadi sehemu husika .. Kama transit hadi border.

Imports and exports: kwa huduma za kusafirisha kitu nje ya nchi au kuingiza kitu nchini pia wasiliana nasi tunakuagizia gari bure kabisa.

Vessel tracking and gps tracking huduma hii ni bure utapewa taarifa sahihi na bure ya meli yenmye mzigo wako mpaka inafika bandarin na pia utapata huduma ya GPS kwa gari au container za transit..

Karibu mteja, agents kutoka Tanzania, wakala kama una magari au una watu wanahitaji hii huduma tufanye kazi.

Dn holdings company limited for your logistics solution.

Karibu kwa mawazo , maswali ..

dnh facebook.jpg
 
KARIBUNI SANA NDUGU ZANGU
DOCUMENT ZINAZOHITAJIKA KWA I,IMPORTS NA EXPORTS NI
1. BILL OF LADING
2.INVOICE
3.TBS CERTIFICATE AND INSPECTION JAPO KAMA HUNA HII TUNAFANAYA DI) DOMESTIC INSPECTION
4.EXPORT CERTIFICATE HIZI NI KWA MAGARI...
 
custom clearance na wakanda logistics
make: TOYOTA
model: hilux surf
used from japan
clearance at dar es salaam port
 

Attachments

  • clearing and forwarding agent.png
    clearing and forwarding agent.png
    185.5 KB · Views: 18
Je umeagiza gari lako nje ya inchi na unahitaji msaada wa kutolewa bandarini kwa haraka na bei nafuu? Tazama bei zetu za utoaji Magari bandarini na ukipenda tupigie, punguzo lipo na km aina ya gari lako halipo basi uliza.. Pia tunatoa MAKONTENA na mizigo yote inayopitia Airport na Mpaka wa TUNDUMA.
1: IST - 750,000/=
2: HARRIER New-900,000
3: HARRIER Old-800,000/
4: RAV 4 - 800,000/=
5: RAUM - 750,000/=
6: SPACIO - 750,000/=
7: PASSO - 750,000/=
8: VITZ - 700,000/=
9: PREMIO - 750,000/=
10: ALTEZA - 750,000/=
11: SUBARU - 750,000/=
12: CARINA - 750,000/=
13:COASTER-1,760,000/=
14: CANTER- 1,300,000/=
----------------------------------------
Gharama hizi zinahusisha malipo ya
1: Port Charges
2: Shipping Line
3: Walfage
4: Agent Fee
5: Plate no + Registration
----------------------------------------
Text/Piga 0759040449
info@dnh.co.tz
Company: DN holdings
Location: Nkurumah st
Dar es salaam, Tanzania
 
Back
Top Bottom