Clemence Mwandambo: Kuwaleta wanajeshi mtaani kupambana na raia ni kuwashushia HADHI

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
"Mkuu wa nchi anasema Jeshi lisijehusishe na siasa yuko sahihi, Kuwaleta wanajeshi mtaani kupambana na raia ni kuwashushia hadhi Mwanajeshi ameandaliwa kupambana na mwanajeshi Mwingine" Mzee Clemence Mwandambo.
 
Ah! Hii ni fungia mwaka 🤣🤣. Yani tumesmchoka hatari. Nao sasa wajitambue na waone aibu
 
Haha hayo ni mawazo yake lakini ni upuuzi nchi kutokuwa na amani halafu umekaa tu unalinda mpaka Sasa unalinda nini wakati unapopalinda hapana Amani...?
MH kwenye hili hapana jeshi halikuingilia siasa jeshi lilikuja kutunza Amani by the way sikusikia ama kushuhudia raia kapigwa na jeshi ila raia wengi waliimba jeshi jeshi jeshi hii maana yake wananchi bado wanaliamini jeshi.. kuliamini ama kutoliamini sihusiki napo Sana kwasasa lakini jeshi lilifanya kitu sahihi Kwa wakati sahihi. Nina Shida na uwezo wa akili Kwa mtu anaehoji jeshi kutuliza watu ikiwa ikitokea majanga ya ajali huwa wanahusika Sasa kivipi kwa zile vurugu,maandamano na uharibifu uliotokea jeshi lisihusike..
 
Hukuona yule jamaa alie rushwa kichura, lilikuwa linamlinda nani kama MAELFU WAMEKUFA? Unajua maana ya neno jeshi la wananchi?
 
Haha hayo ni mawazo yake lakini ni upuuzi nchi kutokuwa na amani halafu umekaa tu unalinda mpaka Sasa unalinda nini wakati unapopalinda hapana Amani...?
MH kwenye hili hapana jeshi halikuingilia siasa jeshi lilikuja kutunza Amani by the way sikusikia ama kushuhudia raia kapigwa na jeshi ila raia wengi waliimba jeshi jeshi jeshi hii maana yake wananchi bado wanaliamini jeshi.. kuliamini ama kutoliamini sihusiki napo Sana kwasasa lakini jeshi lilifanya kitu sahihi Kwa wakati sahihi. Nina Shida na uwezo wa akili Kwa mtu anaehoji jeshi kutuliza watu ikiwa ikitokea majanga ya ajali huwa wanahusika Sasa kivipi kwa zile vurugu,maandamano na uharibifu uliotokea jeshi lisihusike..
Vipi kuhusu ufisadi wa rasilimali, madini na mikataba mibovu hawaioni hao jeshi yaani thamani ya vituo vya mwendokasi, sheli ni muhimu zaidi kuliko mabilioni yanayosomwa na CAG kila mwaka?(wakati hayo ndio yanayovigusa vizazi vya sasa na vya baadae, vya Tanganyika wakiwemo hao wanajeshi walalahoi wa vyeo vidogo) Au basi si ngoja tulinde "amani" nyie endeleeni kujitajirisha na vizazi vyenu sie vyetu vifilisike kama mnavyosisitiza.
 
Unapoteza bure nguvu zako za kufikiri... Hawa ni "bots" kwa ivo wapo "programmed" hawana akili zao wenyewe.
 
Vipi kuhusu ufisadi wa rasilimali, madini na mikataba mibovu hawaioni hao jeshi yaani thamani ya vituo vya mwendokasi, sheli ni muhimu zaidi kuliko mabilioni yanayosomwa na CAG kila mwaka?(wakati hayo ndio yanayovigusa vizazi vya sasa na vya baadae, vya Tanganyika wakiwemo hao wanajeshi walalahoi wa vyeo vidogo) Au basi si ngoja tulinde "amani" nyie endeleeni kujitajirisha na vizazi vyenu sie vyetu vifilisike kama mnavyosisitiza.
Kazi ya jeshi ni nini..?
 
Back
Top Bottom