BIG BROTHER ALEX
JF-Expert Member
- Sep 24, 2025
- 1,293
- 2,265
Hatuwezi Fanya kazi hatuna amani, husikii Kuna msanii kazurumiwa gari? Kifo Cha pilipili hapo nguvu za kufanya kazi znatoka wapiMuda wa siasa na maneno sasa umekwisha, tufanye kazi kwa maslahi yetu binafsi na kwa Taifa kwa ujumla. WaTanzania tufanye kazi.