Dr Ahmed Albah-Shahwa
JF-Expert Member
- Apr 12, 2022
- 1,130
- 2,221
Kulinda Tanzania na Watanzania na itikadi zao za kisiasa. Au kwa sasa unaweza kusema kulinda Tanganyika na watanganyika na itikadi zao za kisiasa, Tanganyika ni pamoja na rasilimali zote...Kazi ya jeshi ni nini..?
Bado mkuu...πKulinda mipaka ya nchi husika pamoja na wananchi wake kuhakikisha Amani imetulia. Kama baba pale nyumbani kazi yake kulinda nyumba na familia sasa hawa baba zetu wanauza mechi na refa anapeta watoto ndio wanaoumia
Ndio lakini bado hujamaliza majukumu Yao yote yapo takribani sabaKulinda Tanzania na Watanzania na itikadi zao za kisiasa. Au kwa sasa unaweza kusema Tanganyika na watanganyika na itikadi zao za kisiasa.
Unamaanisha UVCCM?Bado hujamaliza...
Saba?Ndio lakini bado hujamaliza majukumu Yao yote yapo takribani saba
Ongezea nyama mkuuBado mkuu...π
Ndio ni suala la muda tu watapita nae kwenda kumficha..Huyu watamuua
Kagame/M23 wapo kwenye border yetu na DRC, jwtz ilibidi wawe pale kupambana na M23! Plan ya Kagame ni ardhi, Rwanda IPO populated sana, baadhi ya miji ya DRC itavunjwa kuunda nchi mpya ya wanyamurenge, ambayo itakuwa ni extension ya Rwanda regime! Hatutaweza kuingia DRC kupitia Ziwa Tanganyika, shughuri za kiuchumi zitatetereka!"Mkuu wa nchi anasema Jeshi lisijehusishe na siasa yuko sahihi, Kuwaleta wanajeshi mtaani kupambana na raia ni kuwashushia hadhi Mwanajeshi ameandaliwa kupambana na mwanajeshi Mwingine" Mzee Clemence Mwandambo.
Haha... Yapo wazi Kabisa wala hayaingiliani na chombo chochote cha kisiasa.. Fuatilia mambo ya nchi yako,saikolojia ya watu,uongozi ktk sekta zote Kuna vitu utaelewa...Unamaanisha UVCCM?
Nyama hakuna mkuu Kuna mchuzi tu..πOngezea nyama mkuu
Haha.. Ndugu huku ndo kunaitwa kujitekenya pasipotekenyeka.. Kuingia kwenye migogoro huwa kunahitaji hesabu kubwa Sana sio kulala nakuamka basi kupambana .. Hata mbu anaenyonya damu ya jirani yako hupigwa Kwa akili sio pwaa Kofi tuKagame/M23 wapo kwenye border yetu na DRC, jwtz ilibidi wawe pale kupambana na M23! Plan ya Kagame ni ardhi, Rwanda IPO populated sana, baadhi ya miji ya DRC itavunjwa kuunda nchi mpya ya wanyamurenge, ambayo itakuwa ni extension ya Rwanda regime! Hatutaweza kuingia DRC kupitia Ziwa Tanganyika, shughuri za kiuchumi zitatetereka!
Ndio, nimetaja kwa ujumla ukishasema Tanganyika na watanganyika na itikadi zao za kisiasa, hayo mengine automatically yanaangukia kwenye Tanganyika, ambamo humo nataka nikulete kwenye hoja kwamba hawajafanya majukumu yao.Ndio lakini bado hujamaliza majukumu Yao yote yapo takribani saba
"Mkuu wa nchi anasema Jeshi lisijehusishe na siasa yuko sahihi, Kuwaleta wanajeshi mtaani kupambana na raia ni kuwashushia hadhi Mwanajeshi ameandaliwa kupambana na mwanajeshi Mwingine" Mzee Clemence Mwandambo.
Kazi ya jeshi ni kulinda raia wake.Hukuona yule jamaa alie rushwa kichura, lilikuwa linamlinda nani kama MAELFU WAMEKUFA? Unajua maana ya neno jeshi la wananchi?
Mzee Mwandambo amefilisika kiakili amefilisika kwa kuwa ubongo wake unakwenda anti clockwise."Mkuu wa nchi anasema Jeshi lisijehusishe na siasa yuko sahihi, Kuwaleta wanajeshi mtaani kupambana na raia ni kuwashushia hadhi Mwanajeshi ameandaliwa kupambana na mwanajeshi Mwingine" Mzee Clemence Mwandambo.
Hakuna nchi inaitwa Tanganyika kuanzia 1964, unless ina maanisha Ziwa Tanganyika au Wilaya iliyopo ndani ya Mkoa wa Katavi au kijiji cha kwanza mbele ya Muheza ukielekea TangaKulinda Tanzania na Watanzania na itikadi zao za kisiasa. Au kwa sasa unaweza kusema kulinda Tanganyika na watanganyika na itikadi zao za kisiasa, Tanganyika ni pamoja na rasilimali zote...
Hahaha chuzi lenyewe halina hata mafuta mkuu? Ugai haushukiNyama hakuna mkuu Kuna mchuzi tu..π
Hawana jipya, ndo maana watu wameamua kuwapuuzia.Wanajiongelesha wenywewe kwa nyuzi kibao zinazoongelea jambo moja huku wakija na IDs kibao tofautitofauti.Wakishareport na kusaini elfu 7 basi wanaingia mitandaoni kuzungumzia Genz naNakubali ni "bots" kwa sababu hakuna hata hoja moja ya msingi (mfano haki ya kuishi) wanayojibu zaidi ya kujirudia rudia tu.
Muda wa siasa na maneno sasa umekwisha, tufanye kazi kwa maslahi yetu binafsi na kwa Taifa kwa ujumla. WaTanzania tufanye kazi.Mfate kwake ukamwambie mana Hana fake I'd kwake panajulikana KABISA ukitaka na kuku qnakupa
Usiludie tena kunambia upuuzi katiba, rais aliepo madarakani yupo hapo kwa katiba ipi? UnaropokaKuitwa jeshi la wananchi sio shida je unafahamu majukumu Yao kikatiba...