Clement Mzize abadili dini lakini nimeshangaa kumuona akipiga ishara ya msalaba baada ya mechi kumalizika

Clement Mzize abadili dini lakini nimeshangaa kumuona akipiga ishara ya msalaba baada ya mechi kumalizika

Atazoea tu na ataacha kazaliwa kwenye malezi hayo kujisahau inawezekana na ndo maana hata wewe pindi mwaka mmoja unapoisha na kuingia mwaka mwingine kwenye uandishi wa tarehe unaweza kujisahau ukaandika mwaka uliopita ila baadae unazoea na kuacha
 
Amegundua makosa yake akajirekebisha kukosa Mara moja sio mbaya Bali kurudia makosa ndio mbaya
Na azam tv Kama unavyojua Tena
 
Dini za Wageni, wakatuletea Dini wakatunyima technology. Mbwa wale, halafu wanatuahidi eti tuishi kimaskini then tutakuja kuishi kifalme somedays somewhere
Hawa watu ni wanyama. Hawakutunyima Teknolojia bali walitunyang'anya na waliua "our advanced technology". Viwanda vyetu vya uhunzi vilivunjwa na wahunzi kufungwa. Utaalam wowote wa kiasili waliuzuia wakidai ni "primitive" kumbe ni hofu ya hatari kuwashinda. Walizuia kumiliki vilivyo bora wakavichukua kwenda kwao wakatuletea vitu visivyo thamani wakituaminisha ndiyo bora. In short walitutengenezea dhania ya hovyo tuthamini vyao kuliko vyetu, mentality inayodumu hadi kizazi cha leo.
 
Back
Top Bottom