Clement Mzize abadili dini lakini nimeshangaa kumuona akipiga ishara ya msalaba baada ya mechi kumalizika

Clement Mzize abadili dini lakini nimeshangaa kumuona akipiga ishara ya msalaba baada ya mechi kumalizika

Hakika ndugu yangu, Leo hii tunabaguana Hadi kwenye mazishi kisa Huyu Mkristo na huyu Mwislam! Pumbavu kabisa! Huwa najiuliza, Ina maana Wachina, Wahindu, Wakorea na wengine hao wataenda wapi? Hivi wale wazee wetu walikufa kabla ya Ukristo na Uislam kuja wao wataenda wapi? Anyway tutende mema ndio Dini ya kweli, usidhulumu Wala usiibe. The rest ni ubatili
Umeshaambiwa eti wale ni mizimu ilihali dini dini tunazoabudu na hao wanaosemekana na watakatifu hamna alieko hai ila wao si mizimu ni watakatifu
 
Alikuwa anataka futari ya bure kwa GSM ndo mana alibadili dini kwenye mwezi wa ramadhani
 
Hizi timu mbili nazo ni organ za uenezi wa dini Fulani. Ukitaka kuamini fuatilia kwa makini siku ambayo ama Wana Dua ya kuombea timu au shughuli yoyote public inayohusisha maombi
 
Back
Top Bottom