Clement Mzize abadili dini lakini nimeshangaa kumuona akipiga ishara ya msalaba baada ya mechi kumalizika

Hakika ndugu yangu, Leo hii tunabaguana Hadi kwenye mazishi kisa Huyu Mkristo na huyu Mwislam! Pumbavu kabisa! Huwa najiuliza, Ina maana Wachina, Wahindu, Wakorea na wengine hao wataenda wapi? Hivi wale wazee wetu walikufa kabla ya Ukristo na Uislam kuja wao wataenda wapi? Anyway tutende mema ndio Dini ya kweli, usidhulumu Wala usiibe. The rest ni ubatili
 
Dogo angajitambua kidogo angejifua sana na kuwa bonge la mchezaji mpira.
Ana umbo zuri sana la mchezampira.
Achukue huu ushauri wangu.
 
Atazoea tu na ataacha kazaliwa kwenye malezi hayo kujisahau inawezekana na ndo maana hata wewe pindi mwaka mmoja unapoisha na kuingia mwaka mwingine kwenye uandishi wa tarehe unaweza kujisahau ukaandika mwaka uliopita ila baadae unazoea na kuacha
Mtu akibadiri dini kwa ajili ya mwanamke hawezi kuwa kwenye hiyo dini.

Dini ni utumwa mambo leo tu.
 
Mtu akibadiri dini kwa ajili ya mwanamke hawezi kuwa kwenye hiyo dini.

Dini ni utumwa mambo leo tu.
umeshasema kabadili maana yake ameshatoka upande mmoja kwenda upande mwingine alafu unasema hawezi ? hivi ukisoma ulichoandika unakielewa kweli?
 
Akili nyingi mzee nakubali
 
Mkiambiwa kabadili kwa ajili ya toto la kitanga hamuelewi,mnahisi anaonewa?
 
Tunaweza kuwa tunamshangaa kubadili dini ukubwani ukakuta ni mjanja Sana kwa wale wanazotumia mabinti zao kueneza dini, kwamba anakuambia anakuoza kwa kigezo Cha kubadili dini.

Jamaa yangu aliwahi kuingia 18 za shombe la kiarabu. Wazazi wake wakamwbia hawataki kumuona na kafiri ila akibadili hawana shida. Jamaa alibadili dini baada ya mke kupata mimba akamwambia yeye ni mkatoliki na hilo haliwezi kubadilika, ilibidi mke amfuaye kanisani na ndugu walimtemga, ila baada ya kufanikiwa kimaisha walirudi kimya kimya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…